Upinzani ni kama vinyago vya mpapure

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
kwa kazi ya JPM ya hapa kazi tu imewachanganya wapinzani wa kisiasa na wafuasi wake wakikesha eti kujaribu kuipapua serikali ya JPM.

ukifatilia maelezo yao na madai yao unawaona kama vinyago wa mpapure
 
Unaweza kushinda tuzo ya uzuzu wewe.
sio lazima na wewe uanzishe uzi humu changie nyuzi za wenzio zinazoandikwa kitaalamu na kwa mapana pia zenye mashiko.
 
Ww hutofautiani kabsaa na hicho kinyago. Asavali kinyago ni Kinyago kuliko kinyago wewe
 
uzuzu upi sasa kiongozi mkubwa analalamika kwa askofu utumbuaji majipu ni uonevu kweli
 
Sio kila mtu atapokea jambo fulani unavyotaka wewe.
Lazima tutofautiane kwenye hii dunia la sivyo hii dunia ingekua ya ajabu
kama kila mtu angekua ni wa kusema mdio tusingekaa tubaini mabaya yoyote.
 
Unaweza kushinda tuzo ya uzuzu wewe.
sio lazima na wewe uanzishe uzi humu changie nyuzi za wenzio zinazoandikwa kitaalamu na kwa mapana pia zenye mashiko.
tuzo ya uzuzu wa kinyago wa mpapure tunawakabidhi nyinyi wapinzani mnaolalamika mpaka kwa askofu eti utumbuaji majipu ni wa uonevu
 
ni unafatilia masuala ya chama cha CCM wakati kinautaratibu wake unaacha chama chako cha siasa kama si kinyago cha mpapure ni nini.
na utumbuaji majipu heshima imerudi ofisi za serikali leo unasimama mbele ya askofu eti utumbuaji majipu ni uonevu.
ni sawa na kinyago wa mpapure
 
ukawa njooni huku [HASHTAG]#wakimataifa[/HASHTAG] anawaita kinyago wa mpapure mje mumjibu
 
kwa kazi ya JPM ya hapa kazi tu imewachanganya wapinzani wa kisiasa na wafuasi wake wakikesha eti kujaribu kuipapua serikali ya JPM.

ukifatilia maelezo yao na madai yao unawaona kama vinyago wa mpapure
Wewe upige deal zako halafu ukihusishe chama, kila mtu atabeba mzigo wake
 
Back
Top Bottom