Kudhulumiwa. ardhi wizara ifanye kazi ya ziada

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
Hakuna kitengo cha wizara ya ardhi ikivyokuwa na matatizo makubwa katika nchi hii kama watanzania wanyonge wanavyodhurumia ardhi.
maafisa ardhi wanasomea kwa kazi ya kuwadhulumu watanzania.

kwa maoni yangu serikali iwasaidie mawaziri nguvu kubwa ya kumaliza matatizo.

wapo hata wanasheria wa kujitegemea wanashirikiana na maafisa ardhi kuwadhurumu watanzania wanyonge.
nakumbuka lukuvi alitamka kwenye tv hata miaka kumi bado halitaisha matatizo ya ardhi namshauri JPM ampe nguvu kubwa waziri kumaliza matatizo hayo kwa kasi kubwa
 
migogoro ya ardhi ni sawa na nati iliyofungwa na migongo imekufa.
na ni hatari watu kudhurumiwa mwisho itafikia hali ya usalama kutoweka.
mtu hawezi kudhurumiwa na mahakama kuvuruga kesi za ardhi ili mnyonge akose haki
 
Back
Top Bottom