Recent content by manrichie

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kibonde kaondoka Clouds?

    WADAU NISAIDIENI YUPO WAPI EMMANUEL BUHOHELA? Huyu alikua beneti sana na mh rais wakat wa kampeni au amepewa shavu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Eddy Kenzo na Shilole ndani ya penzi jipya

    Dudu baya tu ndio size ya shilole wengine wooooote wanapoteza muda wao nakujionjea.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mengi: Kwanini nimemuoa K-lynn

    Potelea mbali hata kama anataka pesa na huduma akatoa ipaswavyo huyo anastahili. Kwanin umtafutie pesa asiyethamini ile thamani yako? Keep it up k lyn
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nassari atoa mil.45 kwenye pesa ya gari la mbunge zisaidie kununua dawa na Vitanda

    Kwani ndugai yupo mkoa gani jamani?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kibonde kaondoka Clouds?

    Kwani kibonde alisoma chuo gani jamani maana huwa simuelewagi kabisa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa bora uwe na akili ukose mali kuliko kuwa na mali ukose akili?

    Bora upate mpunga wa maana akili inauzwa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Eddy Kenzo na Shilole ndani ya penzi jipya

    Mwanamke ambaye kashaishi na dereva wa lory hafugiki. Samahani kwa hiyo lugha lakin ndio ukweli.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mlioijaribu Bia ya Arusha almaarufu "Banana", hebu tupeni feedback

    Nisaidieni kwa beer ya plisber ice maarufu kama ukawa au chadema. Ni kama ukinywa nne akili inahama kwa sisi tuliozoea castle lite.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nani anamfahamu Mabrouk wa DART?

    Wadau nipo njiani kurudi nyumbani nasikiliza clouds fm. Namsikiliza Mabrouk Sabri anaongelea juu ya nauli toka kimara hadi posta kwa sh 1,200. Anayemjua vyema plz anifahamishe.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Wema, Kajala warudi Upya

    Ouwky hapo nimekusoma mdau. Kama vp amkamate mwana bongo flaver ili kujipatia fursa za poda. Kwenye mpira atapotea.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Wema, Kajala warudi Upya

    Ni kweli hawa madem wana mapenzi ya dhati na mira hivyo au kuna kilichowapeleka uwanjani tena visiwani unguja.?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

    Mboni kwani alitoka na fally lpupa? Samahani na mimi naomba kujua.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Clouds TV mtafutieni Baby Kabaye kipindi chake tu peke yake kwani ana maarifa makubwa sana

    Hakuna hata pix yake? Mim hata kuangalia hicho kipindi asubuhi niliacha muda sana.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya mabondeni vp?

    Mliopo dar tunaomba mtupe yaliyojiri mahakama ya kisutu dar kuhusu bomoa bomoa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa Dar yatua rasmi Temeke - Keko wapewa notisi...

    Jamani vp mliopo dar leo mahakama imeamua vp kesi iliyofunguliwa juu ya nyumba za mabondeni?
Back
Top Bottom