Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,771
Sijamsikia muda mrefu hewani
Sijamsikia muda mrefu hewani
Wewe Unadhani Akitoka Hapo Ataajirika Tena Sehemu Zingine?
Kuajiriwa ni ili upate kulipwa, upate pesa ya kujikimu! Unadhani kipindi cha NHC huwa anauza tu sura ktk vituo vya Tv? Nina uhakika anakula ndefu sana pale!Wewe Unadhani Akitoka Hapo Ataajirika Tena Sehemu Zingine?
Nadhan tulikuwa wote enzi hizo pale MlimaniNamchukia ata nikioana anatanza kipindi nabadil stasheni. Nakumbuka akati nasoma kunachuo waligomea mkopo kipindi hicho ilikuwa ni 5000/ day. Swala ambalo lilifanya maisha ya vijana wa vyuo vikuu ahasa wa wakulima kuishi kwenye hali ngumu. Chaajabu yy katika kipindi chake cha jahazi alitangaza kuwa wanafunzi wa chuo ni wafujaji wa hela ya serikal kwan huwa anakutana nao club malakibao. Bila kujali chuo nako kunawanafunzi wanatoka familia tofauti. Mie kwanza huwa naona anaropoka tu walahajui anachosema. Bora afukuzwe tu
Cambridge universityKwani kibonde alisoma chuo gani jamani maana huwa simuelewagi kabisa
Kibonde ni ukawa damu sijui kama unaongea kitu unachokijua vizuri.Pamoja na kujikomba kote Mkwere ameondoka bila kumpa hata ukatibu wa tawi
Kwani kibonde alisoma chuo gani jamani maana huwa simuelewagi kabisa