SUPER PREDATOR
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 2,093
- 725
Wakuu,
Naomba tujadili hoja hii kwa kuzingatia mazingira ya nchi yetu ya Tanzania.
Hvi ni kipi bora uwe na mali ukose akili au uwe na akili ukose mali, mimi kwa maoni yangu kama upo Tanzania ni bora ukose akili ila uwe na mali maana utaishi maisha ya raha sana kuliko mtu mwenye akili asiye na mali.
Haya nimeyashuhudia mara nyingi tu, unakuta mtu ni mjinga kabisa lakini anamwamuru mtu mwenye akili kutekeleza maagizo yake hata kama ni ya kijinga na mwenye akili anatekeleza.