WanaJF
Naomba kuuliza.
Ivi NECTA hawalioni Suala la Bashite?
NECTA hawaoni kuwa cheti kinachosemekana kutumika na mtu sio chake?
TCU kama wasimamizi wa Elimu ya juu hawaoni haja ya kuyafuatilia haya?
I'm confused kwa kweli.
Nchi gani hiyo wanakubali mwizi wa cheti?
Hatuna shida na Bashite na matokeo yake, tatizo ni kutumia jina la mtu. FORGERY! Hakuna nchi inayokubali kiongozi aliyeforge na kupita njia za panya.
He doesn't qualify to be whom he is.
Nimependa maelezo ya huyu Ndugu, makonda atoe vyeti vya form four vyenye Jina lake halali, atueleze shule aliyosoma kama Makonda na walimu waliomfundisha. Aeleze japo classmates wake.
WATU WANAMJARIBU RAIS MAGUFULI KUPITIA MAKONDA
Rais John Magufuli alipata kueleza kuwa yeye hajaribiwi, hata mimi naamini kuwa Rais wangu hajaribiwi. Rais wangu Magufuli yupo tofauti sana, mwenyewe alishasema hivyo.
Ninachompendea Magufuli wetu ni kuwa hajui kuremba. Hana kawaida ya...
labda useme ulimfahamu akiitwa Paul Makonda tangu akiwa std 7. ila historia ya jina Paul Makonda imeanza baada ya kumaliza kidato cha nne. ila akiwa Pamba Secondary, hakuitwa Paul makonda. Msikilize vizuri Gwajima
Na ndivyo alivyosema Gwajima. jina bashite limeanza kutumika wakati akisoma chuo cha uvuvi certificate. kurudi nyuma, unapata mtu anayeitwa Daudi Bashite. Yaani jina Paul Makonda lilianza kutumika baada ya kuzungusha form four. na kwa mujibu wa Gwajima, alichukua kwa mtu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.