Mmojawapo wa jamaa ni Kelvin Martin Ulio, kuna kipindi alifanya Kibaha Pwani, wakamtema coz hakuwa na vigezo vya elimu, sasa msikaji wake akamfanyia mpango Tabora Mjini
Jamani maeneo ya Ubungo Msewe(Golani kwa Muya), maji hayajatoka wiki ya tatu sasa, watu wanaishi kwa taabu sana na kuna ujumbe unatumwa kwa wateja wawe wavumilivu eti umeme mdogo. Mnataka watu wafe kwa kipindupindu? Mbona maeneo mengine ya jiji maji yanatoka kila siku, ikiwezekana wafungieni nao...
Ni mara chache kusikia hili shirika likisifiwa, kwenye ajira ndiyo kabisaaaa wanaajiri kiundungu matokeo yake wanakwamisha utendaji wa shirika. Mfano Tabora Mjini kitengo cha stoo panalalamikiwa mno kuwa wameajiri watu ambao hawajasomea mambo ya stoo na kuacha wale wenye sifa na vigezo vya kazi...
Baadhi ya wafanyabiashara hasa wa tangawizi wamekuwa wakiuza viazi vinavyofanana na tangawizi na kuwauzia wateja wao. Viazi hivyo havina harufu yoyote wala ukali wa tangawizi.
TFDA fuatilieni suala hilo kabla halijaleta madhara katika jamii yetu, kwasababu ukiangalia kwa macho ya kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.