Recent content by mankizzo

  1. mankizzo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Disco lililoingia Mmasai.

    Tabusana
  2. mankizzo

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe ungeacha watu wamuone wenyewe Doumbia, Atakamiwa na kuumizwa.

    Mashabiki wengi Wa yanga kuwapata weka utoto mwingi wanakuja na viingirio viwe vidogo watakuja vizurituu
  3. mankizzo

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini Magufuli alilivunja jengo la TANESCO-Ubungo, pengine Polepole atujuze!

    Yes nandio maana baada ya ku rudi ikasitishwa Kama mwelewa Wa siasa utamjua
  4. mankizzo

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume chukueni ushauri huu

    Kunakitu ulikosea Kama mwanaume hutakiwi kila unachofanya mkeo ajue .2kama unataka kukopa bank hakikisha una acha nyumba moja utakuja kunishukuru badae kingine we mkanye kama hataki kamahataki mpetaraka mgawane Mali hapo Ndio uta uona umhimu Wa namba moja
  5. mankizzo

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini Magufuli alilivunja jengo la TANESCO-Ubungo, pengine Polepole atujuze!

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414 Shida ilikua hivi mwenye hilojengo ali msemavibayasana maana tanesco hilojengo walikodi zingatia lilipovunjwa kuna mwana ccm alikua Chadema aka rudi ccm je umemjua
  6. mankizzo

    JamiiForums Tanzania Dikodiko kama lote

    haaaaa Unakula vizurikabisa hapo sprite Au juice ihusike
  7. mankizzo

    JamiiForums Tanzania Let's be careful with people we mix our soul with

    Siokweri
  8. mankizzo

    JamiiForums Tanzania “The birds will be flying high tomorrow”

    According to
  9. mankizzo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

    hapo sasa inabidi iwe siwezikwenda chimbo la utelezi sio siwezi kununua malaya
  10. mankizzo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

    Usicjokijua nihiki akiwa nyumbani kwao utamwita dada au kwajina na utaendakwake kwa heshima huyo huyo ukimkuta bar utataka kumshikatako hata bila ridhaa yake ukimkuta ambiance usiku una mwuliza show shingapi Sijui umenielewa nacho maanisha (mazingira unayomkuta Ndio una m judge) unaezakutana...
  11. mankizzo

    JamiiForums Tanzania Maji Marefu Kiboko ya Wachawi

    Hao wote kwa sasa hatukonao vichwa sana maketta & magufuri
  12. mankizzo

    JamiiForums Tanzania Hospitali zinazozuia maiti kuzikwa ili kushinikiza ndugu walipe gharama za matibabu, zinapaswa kupongezwa na kuungwa mkono

    Hospital gani utaenda kutibiwa usilipie kwanza tenakama za serikali mhuuu sijajua hospital binafsi .ila nacho jua ni kua baada ya kulipia mwazoni kuna gharama zingine labda hikikimeisha kinatakiwahiki wanakuongezea kwenye bili
  13. mankizzo

    JamiiForums Tanzania Mbuzi wa mtaani

    Na clip moja kanafungua mlango wanyumba kabisa kanakula msosi Tena kana funua
  14. mankizzo

    JamiiForums Tanzania Mbuzi wa mtaani

    Pale mbagara mtongani ikitokea ajari mbuzi wanaenda kuangaria kilichotokea.walembuzi siombuzi sijui umenielewa 🤣🤣
Back
Top Bottom