Recent content by Manjeta

  1. Manjeta

    JamiiForums Tanzania Askari wawili JWTZ wafariki dunia, wanne wajeruhiwa mashambulizi ya M23 huko Goma, DRC

    Casualty is inevitable when fighting a war
  2. Manjeta

    JamiiForums Tanzania MSAADA SIMU YANGU IMEJIFORMAT YENYEWE

    Hakuna app nilizodownload za design iyo
  3. Manjeta

    JamiiForums Tanzania MSAADA SIMU YANGU IMEJIFORMAT YENYEWE

    Namba yenyewe nshaisaau ilijitokeza mara moja tu kabla haijajiformat
  4. Manjeta

    JamiiForums Tanzania MSAADA SIMU YANGU IMEJIFORMAT YENYEWE

    Jamani mbona mnanitisha tena..!?
  5. Manjeta

    JamiiForums Tanzania MSAADA SIMU YANGU IMEJIFORMAT YENYEWE

    Habari wakuu poleni na majukumu..Nina simu yangu HTC DESIRE niliinunua kwa mtu kama miezi mitatu iliyopita na nikawa naitumia kama kawaida. CHA AJABU leo jioni nilivyoingia Facebook simu ikaji-RESTART halafu kuna namba ngeni ikawa inapiga lakini nilivyotaka kupokea ikagoma ikajizima tena na...
  6. Manjeta

    JamiiForums Tanzania Hivi hii kitu ishawahi kukutokea na wewe?

    JE, kama umelowa petroli mwili mzima izo cheche (hiyo static electricity) inaweza ikawasha moto mtu ukawaka?
  7. Manjeta

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu taarifa ya majina ya walio chaguliwa kujiunga na kidato cha tano

    Website ya tamisemi haifunguki inawezekana ikawa ndo wapo kwenye huo mchakato
  8. Manjeta

    JamiiForums Tanzania Kiafya sex inaweza kumkondesha mwanamke

    Kila siku unaingiliwa na mwanaume mmoja uyo uyo au wanaume tofauti?..maana kama ni mmoja uyo uyo lazima akonde yeye mwanaume na sio wewe.
  9. Manjeta

    JamiiForums Tanzania Kiafya sex inaweza kumkondesha mwanamke

    Umechoka kufanya diet ndo unataka utumie njia hiyo??
  10. Manjeta

    JamiiForums Tanzania Mlipuko jijini Dodoma

    Mtoa post ungekuwa karibu yangu ningekunasa KOFI..!! Lakini sawa tu mungu anakuona.
  11. Manjeta

    JamiiForums Tanzania Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako

    Samsung
  12. Manjeta

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi tenknolojia ilivyounganishwa leo hii kifaranga cha kuku kikilia tunajua ni whasap na ni uume

    Duh! Uume, kifaranga, whatsap, tiss...nimefikilia weeee HATA SIJAELEWA kamaanisha nini yani..aliyeelewa aandike hata kwa KICHINA basi kama kiswahili kimekuwa kigumu hivi sikuizi.
  13. Manjeta

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kulipa marejesho ya Mkopo wa TALA wakati Kuna kesi mahamakani?

    Afu jamaa wana namba nyingi sijawai ona...kila siku wanatuma meseji kwa namba nyingine.
  14. Manjeta

    JamiiForums Tanzania Kinawachowachanganya Yanga na timu za nje vs Simba ni spirit ya ushindi

    Nyie Mikia Fc andaeni kikapu cha magoli tu huko Lubumbash
Back
Top Bottom