Lissu sio mzalendo kwan kwann usivunjwe mkataba kama ujenzi haufanywi kama vile inavostahili?kwann watuchezee?lazma ifikie wakat yafanyike maamuzi magumu kama ya waziri wa kipindi hicho rais wa sasa tz,wanasheria mngejua mngepongeza tusiwe tunachezewa chezewa vile
Mfano wa kuigwa kwenye maendeleo mambo ya kiitikadi yawekwe pembeni,lema amezidi yaan lile ni cjui ni mtu wa namna gani kwan yaonesha hakudeserve kuwa mbunge
Mm nathubutu kusema katika mihimili hii mahakama baana wanahitaji kubanwa sana kwan wengi wao ni wenye kuangalia maslahi zao binafsi,walalahoi wengi wananyimwa haki zao
Bora umenisaidia maana nilikuwa napitia comments za mabongolala nyingi hapa hawajui muhimili mama?kila kitu wanakipeleka kisiasa tuuu ebu badilikeni 2015 uchaguzi mkuu saiZ chapa kazi 2020 itakuja tu so soon
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.