Hata wakati wa kampeni kama za Ubunge, kupandishana hasira huwa ni njia ya kutafuta ushindi. Unakumbuka mke wa Charle Boniface Mkwasa alivyokosa kura kwa mtu mmoja kumuuliza kuwa huwa unacheza sinema za uchi. alikasirika sana na kuanza kutukana na kusema ni mtoto wa kaka yake. Kura hizooooooooNi kweli Mchezo wa Ngumi strategic zake ni kumpandisha hasira opponent wapo.. .....ndio sababu kuuweka kama Case study
Maombi ni njia mojawapo ya kuondoa matatizo kama hayo na kusoma biblesI had so much rage zamani ,sababu painfule experiences za zamani,kutosamehe etc
I prayed nkamwambia Mungu chukua hii kitu na unipe roho ya upole...mpaka kesho watu wanasema yule dada mpole sana .,ilikua safari ngumu
kweli ni dirty strategyHata wakati wa kampeni kama za Ubunge, kupandishana hasira huwa ni njia ya kutafuta ushindi. Unakumbuka mke wa Charle Boniface Mkwasa alivyokosa kura kwa mtu mmoja kumuuliza kuwa huwa unacheza sinema za uchi. alikasirika sana na kuanza kutukana na kusema ni mtoto wa kaka yake. Kura hizoooooooo
Ukifanikiwa Kuzishinda Hasira Utaishi Kwa Raha SanaShukrani mkuu asante kwa kutupa mwanga
Maana mimi ni mhanga wa hasira huwa nashindwa kujizuia hadi kujikuta nimetenda jambo baya baada ya mda huanza jutia
You nailed It, Mentor.
Nimeishi kiasi cha kuishi kati. Nimeona, nimesaili na kudurusu. Nimetafiti, nimeuliza na kuperuzi. Kila jibu la suala lolote lilishapatiwa ufumbuzi-kimaandishi. Pengine miaka Alfu lela u-lela ilopita.
Hasira ni sumu, hasira ni mgogoro wa kinafsi na hasira ni udhaifu. Mwenye hasira za karibu ni mhitaji mkubwa sana wa msaada wa kisaikolojia.
Nimejifunza kutengeneza "defence mechanism" binafsi. Lengo ni kuondokana na kukasirika kuna-kosababishwa na mkasirishaji.
Mkasirishaji ni kama starter/ ufunguo katika gari. Akishakukasirisha inakuwa kama kakupa sumu. Then hutulia, maumivu hubaki kwako, si kwake.
Mkasirishwaji ana hatari kubwa ya kupatwa na magonjwa yaso-ya kuambika (NCD's) kuliko mkasirishaji. Mkasirishaji hana hasira sawa na mkasirishwaji. Jifunze ku-ignore na ku-focus, I.F Rule.
Ignore and Focus.

Karibu sanaAhsante
Busara ya Mtu uihairisha hasira yake tena anafanya fahari kusamehe makosa......Nlitamani kama utakuwa huru unishirikishe those trauma and your past experienceI had so much rage zamani ,sababu painfule experiences za zamani,kutosamehe etc
I prayed nkamwambia Mungu chukua hii kitu na unipe roho ya upole...mpaka kesho watu wanasema yule dada mpole sana .,ilikua safari ngumu
Unaweza kususa demu wako?Mkuu mimi sina hasira ya kuhamaki.. ila kususa mpaka najichukia kwa hilo ivi nawezaje kuacha
Makala hii ikupe chachu ya kuanza mabadiliko hayo......ukiifahamu kweli na kweli itakuweka huruHasira zimenicost sana kwenye maisha nnaamini ipo siku nitazishinda
KweliAlisema , akikupiga shavuni mgeuzie na lingine la pili apige lakini wengi hii hatuwezi.
Nzur ila ndefu. Ntasma baadye. Ingependeza kuu ujumbe ukamfikia yule Malaika mtarajiwa.