Recent content by mangwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake msituulize maswali haya

    Ulikuwa unaongea na nani!!!!saa hiyo umetoka kuongea na phone
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake msituulize maswali haya

    Kwa kweli hili swali linanichanganyaga!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natoa msisitizo, UKAWA yapoteza ngome yake muhimu Arusha

    Ukawa tukumbuke sio wote wanaoingia jf!!mkutano ungeoneshwa leo ingekuwa poa sana,coz kuna watu vijijini hawajui jf ni nini!!nimeanza kuwa na mashaka na viongoz wetu kama wako serious!!any way time will tell
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    Mimi niko chadema bt nasema ukawa wasipokuwa serious kwa siku chache zilizobaki basi maendeleo yatabaki midomoni mwetu tu!!ieleweke kuonyesha mikutano kwenye TV inahamasisha hata wale wasioenda huko viwanjani,sasa kama tunashindwa kuonyesha hata hiyo michache naanza kuwa na mashaka na watu hawa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona jana, kuoa kwangu baadae sana

    Ushauri gani unaoutaka!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Subaru Model Forester 2007

    Lina matatizo gani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wizi wa matela CRDB

    Hata mimi imewahi kunitokea hapa singida,kuna teller mmoja bonge bonge hiv siku hizi kahamishiwa kitengo cha kuwafungulia wateja akaunti alinipiga wekundu watatu,nilivyo mletea balaa akawa ananifanyia kinyongo kunihudumia mpaka meneja alipoingilia kati.waizi sana watu hawa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

    ISLETS:umetisha mkuu!!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nipe kiwanja nikupe gari

    Njoo singida kiwanja kipo bt utaongeza cash
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Jeshi la polis lenyewe limeshajenga uadui na raia,hata Kama kuna raia kaona kuna kitu hakiko sawa ni vigum kutoa taarifa labda awe infoma wao
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hunitega na kujilengesha

    Inaonyesha unaishi naye kidikteta ndio maana anaogopa kukuambia!!
Back
Top Bottom