MwanaHaki unakosea sana ndugu, kua positive acha zako, eng sio cheo hiyo ni shule kaka. Takwimu zinaonyesha M-TZ kipato chake ni dola moja ya USA sasa hayo masola makubwa ni ya nini?utamuuzia nani? Kutokujua kwako biashara isiwe sababu ya kumfanya Eng. Asifanye mamboozz. Mwache atengeneze ndogo...