Kwani mawasiliano USA ni ya internet tuu??? Hawaruhusi kupiga simu? au mpaka awaambie nilinunua muda wa maongezi nikashindwa kuuingiza kwasababu usajiri ulishindikana kwa zaidi ya siku nzima??
Upo nje ya mada!!!, mtoa mada anaongelea "usajili wa line". Wewe unaongelea "internet service"
In short: jamaa katumia siku nzima kusajiri line na bado hakufanikiwa . Kibaya zaidi akadhauriwa aende kesho yake asubuhi...Na hicho ndicho kilichomfukuzisha kazi
Dr Mwaka hana pakukwepea.....akijifanya Waganga wa kienyeji kwa maana ya wapiga lamri... wameshapigwa marufuku long tym.... Wakati huo huo akijifanya ni Mganga wa tiba asilia, Chama chao ndicho kilichomfungia maisha kujihusisha na tiba asilia ...lol
Nimekusamehe bure, Laiti ungejua umuhimu wa Heading kuwa sahihi usingelopoka hayo maneno..... wengi watatapita tuu hata kama wanaweza kumsaidia...."Heading is an invitation to read"
Mawazo mgando na ya kizamani...eti Physics na Maths ni masomo ya kiume.... yalikuwa ya kiume kwako na lazima yalikufelisha tuu..... sikuhizi wanawake wanawakimbiza wanaume kwenye hayo hayo masomo...... Zinduka mkuu
Mbona unatoka mapovu......We ni wakupima yaani hujui CBA :"A" stands for what?........ hiyo edit yako imekuja wakati nimeisha post .. tatiO network......
Usipanic kijana, nchi ilishaoza hii ngoja tuisafishe kwanza then tutawaruhusu muandamane hata mkitaka Dar mpaka mbeya kwa miguu na mikutano ya machana na usiku mtafanya.... kwa sasa tupeni muda kidogo tupige kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.