iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,923
Kuna haja ya kujua rais anashauriwa wapi.
Alisema kwamba kama angekuwa ndio rais na nwenyekiti wa chama,waliomkosoa kikwete kwa kupinga mchakato wa upatikanaji wa rais mteule wa Ccm,angewapoteza.Bila shaka huo ni ujumbe muruwa kwa wana Ccm wenye mawazo mbadala katika masuala mbalimbali ya kijamii,kisiasa na kiuchumi. Ukipingana na Mkuu anachoamini,unapotezwa.
Hivyo basi mwana Ccm,ukishamsikia kaongea,funga domo lako ewe kada,ole wako umkosoe !!
Kwa wale ambao ni kambi ya upinzani,mtashughulikiwa bila huruma kama mkitumia haki zenu za kikatiba mlizopewa na kuzitumia bila tatizo kwa zaidi ya miaka 20.
Mmekuwa mkiitumia haki hiyo kwa amani na hata polisi wanajua kwamba mnafanya mikutano ya amani ndio maana hawamuamini Mkuu anapolazimisha kuwaaminisha kwamba wapinzani wana fujo.
Rais anakosa fursa ya kokosolewa kushauriwa na wapinzani,wakithubutu anawashughulikia bila huruma
Inabaki serikalini,je ni nani Mwenye ubavu wa kumkosoa Mkuu ndani ya serikali ambayo kila kukicha watumishi wanafukuzwa Kazi,wanasimamishwa kazi,wanaishi kwa hofu!!
Ndani ya chama kasema atawapoteza,nje ya chama(wapinzani)at a was hug bulimia bila huruma,je Mkuu anakosolewa na anashauriwa wapi haswa?