Wasaalam wakuu, usiku wa jumamos nilitoka kwenda kuchek gam ya Madrid na Barcelona huku nikiwa natumia Moja baridi Moja moto baada ya game nikawa narudi home wakati nipo njiani ni main load nilikutana na kundi la watu zaidi ya sita (Police jamii) mda huo skuwafaham walinisimamisha na kunihoji...
Changamoto ilikua ni ndogo Sana tatizo shimo la maji taka Yale wanayo oshea vyombo limejaa kabla hatuja fanya mchakato wa kujimba jingine ndo wamekuja kutubana
Wakubwa kwema.? Mimi na wapangaji wenzangu tumepigwa kiasi hicho Cha faini kwasababu ya kuto kuweka mazingira kwenye hali ya usafi.
Sisi wanaume wa hapa tunapo ishi ni watu wa kutoka asubuhi na kurudi usiku nyumbani uratibu wa maswala ya usafi yanafanywa na wanawake nyumbani.
Leo imetokea Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.