Recent content by mangola

  1. M

    JamiiForums Tanzania Karo juu shule ya Trust St. Patrick Arusha

    It your not comfortable with it, leave it. Period
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

    Mtoa mada unajitekenye mwenyewe na kucheka mwenyewe
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mzimu wa Dr Slaa waendelea kuitafuna CHADEMA; Sasa Mbowe na Lowassa Vitani

    Hadhithi njoo, uongo njoo utamu kolea
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

    Vile hisia zako zitakutuma ndo hivyo hivyo inaweza kuwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane wana CHADEMA, Slaa asingefikisha kura milioni sita

    Ni kweli kabisa, labda nusu yake, Lowwsa ameleta hamasa ya ajabu ukawa. Na hata kuna majimbo ambayo imechukua decades kuyachukua kama monduli na longido
  6. M

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu ni Makamu wa Rais wa Kwanza wa Kike

    Kwa hiyo?!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kukumbushia mauaji ya sokoine ni sahihi ?

    Magufuli hajitambui na vibaka wa ccm wanamuangalia tu, wanasubiri akibahatika akaingia ikulu wamuonyeshe kuwa wao wananguvu kwenye nchi hii
  8. M

    JamiiForums Tanzania Updates: Kampeni za mgombea urais kupitia CCM ndani ya jiji la Arusha

    Arusha hata kama tukisubiri, tushaamua, kuazia madiwani, wabunge na uraisi ni ukawa tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanachama zaidi ya 600 na viongozi wa CHADEMA Vunjo wahamia CCM

    Kama umegundua mpiga picha haonyeshi hata waliohudhuria, amepiga jukwaa kuu tu, kuepusha aibu ya kuangalia umati
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanachama zaidi ya 600 na viongozi wa CHADEMA Vunjo wahamia CCM

    Jimbo la vunjo kuna upinzani wa vyama 2. Ni Tlp na nccr mageuzi, wala ccm haipo kwenye ushindani kwa taarifa yako
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanajaribu kuzuia gharika la UKAWA

    Hapa tulipofika, hata mbowe akitoka ukawa, sisi tunasonga mbele
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lema akosa sera na kuanza kuwalilia wafanyabiashara ndogondogo!

    Aliyeazisha mada anajifurahisha, na inaonekana si mkaazi wa arusha. Katika majimbo ambayo hata chadema isipopiga campaign itashinda ni arusha. Ccm hawana chao huku
  13. M

    JamiiForums Tanzania PSPF towers: The Pride of Tanzania

    well said, there is no way we can be proud for something helpless to common mwananchi except for few minority. watanzania hatudanganyiki tena na sifa za kijinga. the same people were proposing reducing ter minal benefits to their members, i guess due to current political situation they decided...
  14. M

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika, akerwa na kauli za Magufuli, CCM

    akili zako zinakutosha mwenyewe. Hizo sera kila mwaka zinasomwa na ni tamu kama k.... Ila nani anazitekeleza. Watanzania hatuhitaji kuambiwa habari ya sera kwa sasa, tumechoka, tunahitaji kujua issues zitatekelezwa vipi, na jana alichofafanua pro. Baregu ni namna ya kutekeleza sera za elimu bure...
  15. M

    JamiiForums Tanzania 90% ya wasanii kuiunga mkono CCM kwa hoja za kipuuzi ni dhahiri kuwa hawana uhuru

    Wasanii walio wengi ni darasa la saba, hawajitambui
Back
Top Bottom