RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,762
Sijamuelewa Magufuli ama Magufuli hajui hatari ya Kukumbushia Kifo cha Edward Moringe Sokoine ... Wote tunajua kilichomtokea Mzee wetu aliekuwa anapambana na Udhalimu wa wa CCM ... Same kwa Mgimwa, Mvungi, Kombe, Ballow, Mwangosi, Kolimba, Nyerere et al ... Je Mwagufuli anaimarisha Chama chake ama amechanganyikiwa?