Recent content by mangoEmbe

  1. M

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Hisense U7K inch 55 ni bei gani?.
  2. M

    Naulizia wapi nitapata na bei ya TV Hisense 55" U7N.

    Naona nyingi ni U7K na kwa uchache U6N.
  3. M

    Kero ya kuripoti kazini baada ya kupangiwa ajira na sekretarieti ya ajira, halafu unaambiwa urudi nyumbani mpaka upigiwe simu kuitwa!

    Hapo subiri mwezi mmoja na zaidi. Ila ni vizuri, kwasababu wengine wanaenda na kuanza kazi na mshahara hauingii. Bora kusubiri wakamilishe kila kitu.
  4. M

    Kwa kianzio cha bajeti ya 25M, naweza kufikia hatua gani ujenzi wa nyumba ya vyumba 4.

    Lakini wanachokua wamekwambia ni makadirio, kwahivyo inabidi ufanye utafiti wako pia. Na hapo kwenye tofali hawakua mbali sana.
  5. M

    Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

    Vipaji vipo bana, jaribu kuimba bila kipaji mbele za watu uone. 😂😂
  6. M

    Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

    Sasa watakokotoa vipi wakati hawajui hata asilimia?.
  7. M

    Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

    Nimegundua watumishi wengi hawajui hata kima cha chini ni nini, wanashangilia tu.
  8. M

    Msaada:nimemeza kipisi cha toothpick nahisi kinanikwangua kooni

    Mara nyingi unakuta kimeshapita lakini pale kilipokwangua ndio panakupa sensation ya kunasa.
  9. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kila la kheri mkuu. Usisahau confidence, hata kama ni ya kuigiza.
  10. M

    Nawezaje kutoka mikosi

    Hakuna kitu kama hicho, hizo ni imani za ajabu tu. Keep pushing, ongeza bidii utatoboa tu.
Back
Top Bottom