Recent content by Mango juice

  1. Mango juice

    Mwendokasi yawaka moto... Hakuna vifo wala majeruhi

    Kafara leo sasa basi jamani kesho ni sikuku ya Idd
  2. Mango juice

    Serikali tunaomba pigeni marufuku pikipiki kutumika kama public transportation

    Kupiga Marufuku sio dawa bali watasababisha maisha kuwa magumu kwa watu kukosa ajira cha msingi ni kuhakikisha madereva wa boda boda wanarudi darasan ili wazijue sheria za barabarani maana wengi wao ni wahuni tu wanepewa pkpk na kuingia nazo barabarani bila ya kupitia mafunzo yeyote Kwaiyo...
  3. Mango juice

    Serikali na vyombo vyake vya usalama walipe fidia

    Bima itafidia mkuu jeshi la polisi ni maskini sana hawaliwezi hili ni zito sana kwao
  4. Mango juice

    Kilimo cha alizeti na biashara ya mafuta

    Biashara ya kukununua Alizeti na kukamua iko poa sana lakini zingatia na alizeti yenyewe kwa kawaida alizeti hupakiwa debe 7@gunia moja hivyo inatakikana ktk debe saba upate dumu 1 la lita 20 na kidumu kidogo cha lita sio Chini ya lita Tatu kawaida dumu moja la mafuta huuzwa kuanzia 60k had 75k...
  5. Mango juice

    Naomba kujuzwa kuhusu kilimo cha tumbaku Tanzania

    Mkuu achana na kilimo hicho kitakupotezea mda na fedhe nyingi nimebahatika kupita kwa wakulima mbali mbali wa Tumbaku mkoani Mbeya kuanzia Chunya ,Lupa, Isangawana, Bitimanyanga, Kambi katoto na Upande wa Tabora na Singida aisee hali ni tete Mabalo ya Tumbaku hayana bei na yamerundikana Godown...
  6. Mango juice

    Naombeni msaada wa location nzuri kwa ajili ya biashara ya chips

    Ww uko interested na maeneo gani Sinza, Mwenge, Kinondoni, Magomeni, Ubungo , Tabata, Kimara, Mbezi?
  7. Mango juice

    Uzi maalumu wa watanzania waishio nje ya nchi, wanaotamani kuishi nje ya nchi

    Mkuu kama unataka kwenda Qatar usiende hali ya kuwa Unskilled Labour hapana somea mambo ya ku Oparate mitambo mikubwa kama Excavator, Motor Grader, wheel loader, Forklift na Crane hakikisha una Valid License na Basic Certificate ya kuoparate mitambo hapo utatusua kazi hizi zinafursa sana Qatari...
  8. Mango juice

    Habari njema kwa wenye maambukizi ya VVU

    Mbona uzi wenyew tu watu wameunyanyapaa
  9. Mango juice

    Wasifu wa Bernard Kamilius Membe

    Mkuu umenena Rais lazima uwe na ufahamu mkubwa na mambo mbali mbali ya kimataifa na sio kuapply knowledge ya Uchungaji Ng'ombe na Mbuzi kwa Wananchi Mzee wa Magogoni anatuchunga kwa fimbo aisee
  10. Mango juice

    Sakata la Kabendera lafunika vikao vya SADC, ni kama vile havikuwepo

    Jamani Hili lidude la Magogoni likimaliza na waandishi litahamia kwetu Bora Mungu avunje mgongo wake
Back
Top Bottom