Uzi maalumu wa watanzania waishio nje ya nchi, wanaotamani kuishi nje ya nchi

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Kama uzi unavojieleza, kuna watanzania wengi wanatamani sana kuishi nje ya nchi hasa hasa kipindi hikki cha mshike mshike na kula kwa jasho, kijana toka kwenu, pamoja na kijana ishi ndani ya uwezo wako.

wengi wamekua na wasi wasi kuishi mataifai ya nje kutokana na mambo ambayo wanafanyiwa watu watano kati ya 100, pia yamekuepo kila nchi ata hapa kwetu japo kuna nchi zimepitiliza ikiwemo oman.

Basi kuna wale wanaoishi nje ya nchi mje mtupe fursa na sisi wengine tujilipue mbele uko, ningeomba mtueleze kuusu, kazi, malipo, lugha, jinsi ya kufika, makazi, connection na hali ya hewa.

wale wanzangu na mimi ambao tuna mpango wa kutimkia uko panapomajaliwa, basi na sisi tupenae fursa ila mimi nina mpango wa kujilipua Qatar, endapo nkipata kibarua na agent, japo najua nkifika uko ntakua mimi kama mimi.

Wakuu walioko nawategemea sana, tupeni ukweli

NAWASILISHA...
 
NATAMANI KWELI KUISHI HATA WIKI MOJA TU MAREKANI NA UINGEREZA
 
Mkuu kama unataka kwenda Qatar usiende hali ya kuwa Unskilled Labour hapana somea mambo ya ku Oparate mitambo mikubwa kama Excavator, Motor Grader, wheel loader, Forklift na Crane hakikisha una Valid License na Basic Certificate ya kuoparate mitambo hapo utatusua kazi hizi zinafursa sana Qatari na UAE
m qatar, imenikaa kichwan knoma
 
Kama uzi unavojieleza, kuna watanzania wengi wanatamani sana kuishi nje ya nchi hasa hasa kipindi hikki cha mshike mshike na kula kwa jasho, kijana toka kwenu, pamoja na kijana ishi ndani ya uwezo wako.

wengi wamekua na wasi wasi kuishi mataifai ya nje kutokana na mambo ambayo wanafanyiwa watu watano kati ya 100, pia yamekuepo kila nchi ata hapa kwetu japo kuna nchi zimepitiliza ikiwemo oman.

Basi kuna wale wanaoishi nje ya nchi mje mtupe fursa na sisi wengine tujilipue mbele uko, ningeomba mtueleze kuusu, kazi, malipo, lugha, jinsi ya kufika, makazi, connection na hali ya hewa.

wale wanzangu na mimi ambao tuna mpango wa kutimkia uko panapomajaliwa, basi na sisi tupenae fursa ila mimi nina mpango wa kujilipua Qatar, endapo nkipata kibarua na agent, japo najua nkifika uko ntakua mimi kama mimi.

Wakuu walioko nawategemea sana, tupeni ukweli

NAWASILISHA...
Mm naplan za kuhamia US Mwakani. Any news
 
asante mkuu, ila nina taaluma ya mambo ya shipping and logistics mkuu, na mpaka nimalze ni 2021.

nkitaka niongeze na cheti cha mambo ya mitambo naona ntacherewa sana, wakati ni ukuta
Mkuu kama unataka kwenda Qatar usiende hali ya kuwa Unskilled Labour hapana somea mambo ya ku Oparate mitambo mikubwa kama Excavator, Motor Grader, wheel loader, Forklift na Crane hakikisha una Valid License na Basic Certificate ya kuoparate mitambo hapo utatusua kazi hizi zinafursa sana Qatari na UAE
 
Leo hii ndio natamani kuishi nje ya nchi baada ya vyuma kukaza,zamani enzi za JK mkipata vipesa vya kunywa windihoek beer milikuwa mnawakashifu walio ulaya na marekani bakini huko huko mpambane na hali zenu
 
Mkuu kama unataka kwenda Qatar usiende hali ya kuwa Unskilled Labour hapana somea mambo ya ku Oparate mitambo mikubwa kama Excavator, Motor Grader, wheel loader, Forklift na Crane hakikisha una Valid License na Basic Certificate ya kuoparate mitambo hapo utatusua kazi hizi zinafursa sana Qatari na UAE
Vipi kama ni Technicial au Engineer wa Ujenzi Mkuu
 
Back
Top Bottom