Recent content by mangimtori

  1. M

    Natamani sana kuacha pombe ila nashindwa

    usikate tamaa kuna msaada ikiwa wewe mwenyewe una nia thabiti ya kuacha uraibu, tumepitia huko ila tunapambana na hatutaka tamaa msaada upo nitakushauri kama utapenda nitafute 0717551211 au 0767551211
  2. M

    Niliacha pombe sasa hivi nimerudia ulevi tena

    ukipata ujumbe huu naomba unitafute naweza kuwa msaada kwako maana unaonyesha kujutia hiyo hali na unatamani kuacha, ni ngumu lakini ni rahisi kama umeamua kuacha. Nitafute 0717 551211 na 0767 551211
  3. M

    PICHA: Huyu Ndiye Mstaafu Nguli Wa Diplomasia Na Siasa za Kimataifa Aliyebakia Barani Afrika Na kuheshimika Kupita Kiasi

    tafuta video clip ya interview yake na Shaka Sali yule wa Voice of America uone alivyokuwa ana kigugumizi cha lugha
  4. M

    Kuna ongezeko kubwa la wadangaji kwenye maeneo tofauti nini kifanyike kuokoa nguvu kazi hii?

    sio Zanzibar tu, huku nilipo kuna demu kaaga kwao anafanya kazi porini Ngorongoro kumbe anadanga kuanzia Mto wa Mbu mpaka Karatu ni balaa
  5. M

    Je Wajua Japo Baba ni Kichwa cha Nyumba, Mama Anaweza Kugeuka Kichwa Akawa Baba? Wajua Rais Samia ni Kichwa kama Baba?.

    kawaza nini huyo chawa anabembeleza ukuu wa wilaya hana lolote mawazo muflisi
  6. M

    Hanspaul: Mshahara wa Laki 5 usikatwe Kodi

    kama umewahi ona zile landcruiser za porini zenye long chasis sana sana zipo mikoa ya Arusha na Moshi kwa ajili ya utalii wa mbugani huyo ndio anasuka body jijini Arusha, pia wana makmpuni ya ujenzi na mabiashara mengine kibao
  7. M

    Ubalozi wa Vatican TZ upo wapi? Nahitaji kusaini kitabu cha maombolezo

    nyuma ya kanisa la St Peter pale Oysterbay, kabla hujafika makazi ya Waziri Mkuu pana bendera ya rangi njano na nyeupe
  8. M

    Sam Sasali: Nilipost Maharusi kumbe Bwana Harusi ana mke mwingine, kesi ikaniungukia

    kuna mtu nilimwambia hivyo hivyo huyu mtangazaji an sauti mbaya haiskiki
  9. M

    Faida za mchaichai

    mafuta ya mchai chai yanapatikanaje?
  10. M

    Maajabu ya nyuki usiyoyajua

    tushajaribu huo utaalamu na hang over iko palepale
  11. M

    Hivi addiction ya pombe ina dawa kweli?

    HILO TATIZO LA INSOMNIA NI WITHDRAWAL SYMPTOM LITAKUSUMBUA KAMA WIKI 3 KISHA UTAKAA SAWA
  12. M

    Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

    Lushoto view point kule juu Irente nenda mwezi wa 12 ni msimu wa matunda utapapenda sana
  13. M

    NIDA kusitisha matumizi ya namba kwa wasiofuata vitambulisho vyao

    Hawa NIDA wanashangaza sana, huwezi kutoa muda mfupi kiasi hicho maana wengine tulihama mkoa kutokana na ajira halafu hata help line zao wameweka namba za simu mtandaoni ukipiga muda wote simu inatumika. Nimewatumia email kuwajulisha kuwa nimehama mkoa kikazi hata hawajibu. Hizi taasisi za...
Back
Top Bottom