hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 5,227
- 3,145
.
kama umewahi ona zile landcruiser za porini zenye long chasis sana sana zipo mikoa ya Arusha na Moshi kwa ajili ya utalii wa mbugani huyo ndio anasuka body jijini Arusha, pia wana makmpuni ya ujenzi na mabiashara mengine kibaoAbarikiwe huyo tajiri. Je, Anamiliki viwanda vya aina gani?
Yuko vizuri, ila itakuwa karithi kampuni toka kwa Babu au Baba yake. Naona ni mdogo kiumrikama umewahi ona zile landcruiser za porini zenye long chasis sana sana zipo mikoa ya Arusha na Moshi kwa ajili ya utalii wa mbugani huyo ndio anasuka body jijini Arusha, pia wana makmpuni ya ujenzi na mabiashara mengine kibao