Mi ningekuja kufanya uzeeni, na kuna ambao wangekufa bila kufanya,. Ingekuwa kama mchezo wa aviatoringekuwa hivi kwa binadamu
Mzee hapa umezingua. Umetumia app ipi kutransrate"Je! unajua hilo ...? - Nyuki wazee hawarudi kwenye mzinga jioni? Wao hulala usiku juu ya maua, na ikiwa wana nafasi ya kuona jua lingine, wanaanza tena shughuli zao kwa kuleta poleni au nekta kwenye koloni. Wanafanya hisia hii kwamba mwisho umekaribia. Hakuna nyuki anayesubiri kufa ndani ya mzinga ili asiwalemee wengine wote - damu ya nyuki. wadudu, bado katika kiwango cha koloni, wao ni mega-organism joto 🐝🐝🐝 - Kuna nyuki wanaoleta poleni na nyuki wanaoleta nekta, kamwe nyuki wa kukusanya poleni hawezi kubadilisha kazi yake kuleta nekta na kinyume chake 🐝🐝 poleni ya rangi ya machungwa. mkojo wenye nekta 🐝🐝🐝 - Rekodi ya kuweka kundi la nyuki hai wakati wa majira ya baridi kali ilikuwa siku 356 bila wao kwenda nje kwa ajili ya kusafisha ndege 🐝🐝 - Nyuki wanaweza kuwa na manufaa kwa wanadamu hata baada ya kufa, kwani hutumiwa kwa njia ya kuponya 🐝🐝 nyuki! 🐝❤View attachment 3245873
SIJUI VINASHIKANAJE BILA KUELEMEANA."Je! unajua hilo ...? - Nyuki wazee hawarudi kwenye mzinga jioni? Wao hulala usiku juu ya maua, na ikiwa wana nafasi ya kuona jua lingine, wanaanza tena shughuli zao kwa kuleta poleni au nekta kwenye koloni. Wanafanya hisia hii kwamba mwisho umekaribia. Hakuna nyuki anayesubiri kufa ndani ya mzinga ili asiwalemee wengine wote - damu ya nyuki. wadudu, bado katika kiwango cha koloni, wao ni mega-organism joto 🐝🐝🐝 - Kuna nyuki wanaoleta poleni na nyuki wanaoleta nekta, kamwe nyuki wa kukusanya poleni hawezi kubadilisha kazi yake kuleta nekta na kinyume chake 🐝🐝 poleni ya rangi ya machungwa. mkojo wenye nekta 🐝🐝🐝 - Rekodi ya kuweka kundi la nyuki hai wakati wa majira ya baridi kali ilikuwa siku 356 bila wao kwenda nje kwa ajili ya kusafisha ndege 🐝🐝 - Nyuki wanaweza kuwa na manufaa kwa wanadamu hata baada ya kufa, kwani hutumiwa kwa njia ya kuponya 🐝🐝 nyuki! 🐝❤View attachment 3245873
tushajaribu huo utaalamu na hang over iko palepaleUkiweka asali kijiko kimoya ndani ya mugilasi ya mubia NO Hangover....
Naile mambo yetu unakuwa pulling kama NYATI anavuta jembe la trekta
Nitajaribu na Kilimanjaro lager nione!Ukiweka asali kijiko kimoya ndani ya mugilasi ya mubia NO Hangover....
Naile mambo yetu unakuwa pulling kama NYATI anavuta jembe la trekta
Dawa ya hangover ni limao TU ndani ya kileo au kunywa maji mengi sana!!tushajaribu huo utaalamu na hang over iko palepale
Ndani ya Qur'an kuna chapter nzima,inaitwa Suratil Nahal(Sura ya nyuki).Imeelezea mambo mengi,kuhusu nyuki na asali..Na Mtume Muhammad(S.A.W),amesema kuhusu aali ni dawa.Je wajua kuwa kijiko kikubwa cha 🍯 asali kinatosha kumuweka mtu hai kwa masaa 24?
📒 Je, unajua kwamba moja ya sarafu za kwanza duniani ilikuwa na alama ya nyuki?
📒 Je, wajua kuwa asali ina vimeng'enya hai?
📒 Je, wajua kuwa asali ina dutu inayosaidia ubongo kufanya kazi vizuri?
📒 Je, wajua kuwa asali ni miongoni mwa vyakula vichache duniani vinavyoweza kukimu maisha ya mwanadamu kivyake?
📒 Je, wajua kuwa nyuki waliwaokoa watu kutokana na njaa barani Afrika?
📒 Je, unajua kwamba propolis, inayozalishwa na nyuki, ni mojawapo ya dawa za asili zenye nguvu zaidi?
📒 Je, wajua kuwa asali haina tarehe ya mwisho wa matumizi?
📒 Je wajua kuwa miili ya wafalme wakubwa duniani ilizikwa kwenye majeneza ya dhahabu kisha kufunikwa na asali ili kuzuia kuoza?
📒 Je, unajua kwamba neno "honeymoon" linatokana na utamaduni wa watu waliooana kula asali ili kuongeza uzazi baada ya ndoa?
📒 Je, unajua kwamba nyuki anaishi chini ya siku 40, anatembelea angalau maua 1,000, na hutoa chini ya kijiko cha asali, lakini kwa nyuki, ni kazi ya maisha yote?
Asante, nyuki wa thamani..! 🐝💕
Credit: Jr™ CreatorsView attachment 3206413
Asali pia huongeza nguvu za kiume!Je wajua kuwa kijiko kikubwa cha 🍯 asali kinatosha kumuweka mtu hai kwa masaa 24?
📒 Je, unajua kwamba moja ya sarafu za kwanza duniani ilikuwa na alama ya nyuki?
📒 Je, wajua kuwa asali ina vimeng'enya hai?
📒 Je, wajua kuwa asali ina dutu inayosaidia ubongo kufanya kazi vizuri?
📒 Je, wajua kuwa asali ni miongoni mwa vyakula vichache duniani vinavyoweza kukimu maisha ya mwanadamu kivyake?
📒 Je, wajua kuwa nyuki waliwaokoa watu kutokana na njaa barani Afrika?
📒 Je, unajua kwamba propolis, inayozalishwa na nyuki, ni mojawapo ya dawa za asili zenye nguvu zaidi?
📒 Je, wajua kuwa asali haina tarehe ya mwisho wa matumizi?
📒 Je wajua kuwa miili ya wafalme wakubwa duniani ilizikwa kwenye majeneza ya dhahabu kisha kufunikwa na asali ili kuzuia kuoza?
📒 Je, unajua kwamba neno "honeymoon" linatokana na utamaduni wa watu waliooana kula asali ili kuongeza uzazi baada ya ndoa?
📒 Je, unajua kwamba nyuki anaishi chini ya siku 40, anatembelea angalau maua 1,000, na hutoa chini ya kijiko cha asali, lakini kwa nyuki, ni kazi ya maisha yote?
Asante, nyuki wa thamani..! 🐝💕
Credit: Jr™ CreatorsView attachment 3206413
Wivu wa mapenzi,usingekuwepo!ingekuwa hivi kwa binadamu
Mkuu, huyo ni nyuki au buibui dume la widow spider?😀Je, unajua kwamba nyuki dume ufanya mapenzi mara moja tu na hupoteza maisha mara tu baada ya tendo?
Kuwa uyaoneMkuu, huyo ni nyuki au buibui dume la widow spider?😀