Recent content by mangiel

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nilimgonga bodaboda kwa bahati mbaya, nikampeleka hospitali akapona ila kero yeye na baba yake wananiomba hela

    Mkuu kiben10. Hi ilinikuta pia. Jamaa wa baiskeli kaingia main road bila kuangalia ghafla akanigonga kwenye Gari pembeni. Kumuonea huruma nikamkodishia Bajaj na shilling 20,000 akatibiwe. Bahati nzuri X-ray ikaonyesha hajaumia. Cha ajabu Baba yake ananipigia simu baada ya siku 2 anasema Kijana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa daraja la waenda kwa miguu la juu eneo kati ya Kawe, Lugalo na Mbezi Beach ni matumizi mabaya ya rasilimali

    Ndugu, either wewe sio mkaazi wa pande hizo au hujapita pale pick hours asubuhi na jioni. Infact its long overdue, ilitakiwa liwepo mapema zaidi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Robert Kisena atangaza kufilisika kwa UDA

    Mkuu Shark upo sawa hapo. Bankruptcy maana yake assets ni chache kuliko liabilities. Ambacho sijamuelewa Kisena ni hoja yake kwamba pesa zilizopo kwenye account hazitoshi kulipa madeni? Hii ni hoja mufilisi maana asset sio cash kwenye account tu. Kuna fixed assets, kuna receivables, cash yenyewe...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ramani na michoro ya nyumba

    Can you Architects get a little more creative? I find these plans to be plain vanilla.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dereva Trekta Kanipora mpenzi

    Sijaelewa kwa nini umependa kum-identify kama dereva trekta, hakuna namna nyingine ungeweza kumtambulisha na ujumbe ukafika?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    Sisi tunaita time for family reunion. Ndugu,marafiki majirani toka kila kona ya nchi wanakuwa nyumbani. Ni wakati wa kufurahi pamoja.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maduka gani yanauza perfumes Original (DAR)

    J.D Pharmacy, askari monument..
  8. M

    JamiiForums Tanzania Empty Sms na maana yake katika uhusiano

    empty is never empty..
Back
Top Bottom