amani kaseko
Member
- May 16, 2013
- 65
- 30
..Wanabodi poleni na majukumu.. Msaada kwenye tuta... Hivi ni maduka gani yanauza perfumes Original kwa hapa DAR?...sehemu nilizopita pita naona mchina katawala...Nashukuru
Hapo Ubongo stend utawakuta wamachinga wanatembeza kwenye mabox begani. Waulize mmachinga mwenza mmoja kutoka waja leo warudi kesho/ tanga mgothi mmoja ndio anauza original perfumes Dar nzimaaa huwezi amini chaliiiangu!!..wanabodi poleni na majukumu..msaada kwenye tuta..Hivi ni madukaa gani yanauza perfumes origional kwa hapa DAR?...sehemu nilizopita pita naona mchina katawala...Nashukuru
unamaanisha ORIGINAL au una maana nyingine?
..wanabodi poleni na majukumu..msaada kwenye tuta..Hivi ni maduka gani yanauza perfumes Original kwa hapa DAR?...sehemu nilizopita pita naona mchina katawala...Nashukuru