Recent content by Mangi PhD

  1. Mangi PhD

    Well done Rais Samia

    Kabisa mkuu. Haya mambo huwa yanaacha makovu ndani ya mioyo ya watu. Kuna wakati mtu anaweza kufanya mambo hypocritically hasa akiwa anapata upande unaomsapoti. Tarehe 17 march ya kila mwaka inatakiwa tupumzike. "The other Uhuru day"
  2. Mangi PhD

    Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana.

    Wanapozana 😂🤣🤣
  3. Mangi PhD

    Ladies hii imekaaje?

    🤣😂
  4. Mangi PhD

    Ladies hii imekaaje?

    Mil. 59. Hela ya mtu kustaafu kabisa
  5. Mangi PhD

    Ripoti ya CAG 2017/2018: Benki ya Posta walitumia Sh. Milioni 495 kuchora nembo tu!

    Hahaha duh! Nacheka lakini nafsi inauma.....nimewaza kuwa hiyo mil 495 ingetumika kuajiri walim wa ngazi ya cheti wanaolipwa sh 350k kila mwezi ni wazazi wangapi ambao ni maskini wangesaidika kupitia ajira hiyo! Je, hii ndio kauli ya kuwaambia wananchi kuwa TUNATAKA KUMKOMBOA MTANZANIA WA HALI...
  6. Mangi PhD

    Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

    Mkuu nisaidie hilo la attachment kuingiliwa na GRADE A CERTIFICATE wakati nimeappload TRANSCRIPT
  7. Mangi PhD

    Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

    Halafu wameweka namba zao hapa ukiwapigia hawapokei sijui kwann, hawajibu hata sms. Ila Tanzania bwana watu wanasema hili ni dawati la msaada halafu wanakata simu sasa sijui wameweka namba ya mtu flani sasa yuko busy mashambani huko. Hii ni changamoto kiukweli maandalizi ya kulifanya hili...
  8. Mangi PhD

    Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

    Habarini wakuu, nina changamoto kidogo hapa. Wakati nafanya hii application jana usiku mtandao ulikuwa unasumbua sana hadi ikafikia stage naambiwa uploaded lakini ukienda kuangia kwenye application report hakuna kitu, sasa katika hizo hatua nimejikuta kimeingia kijina cha GRADE A CERTIFICATE...
  9. Mangi PhD

    Too much taxation is bad for an economy

    If the tax collected from various sources are distributed equally to the social services of the common people, i would support it. But it is for abstract thing then, we can ask ourself for what more tax!!!
  10. Mangi PhD

    Mh rais ripoti ya vyeti feki msumeno utafanya kazi au kama ya wale vilaza udom

    Hapo sasa, kuna mtihani sana hasa ikifika wakati wale unaowapenda wako hatianii. Ila kiongozi imara na anaependa maendeleo na kutenda haki hawezi kupepesa macho katika hili.
  11. Mangi PhD

    Wandugu yule mtoto wa miaka 5 Nice anayefundisha Form1, wamtunuku tu vyeti mpaka vya Shahada

    Aaache ujinga aende kusoma watu mbn wanarahisisha mambo ya kielimu wanafkir kuweza kufundisha ndo kuweza kupenya na kufuzu kuwa mkufunzi au mwalim??
  12. Mangi PhD

    Mume anapiga masturbation, hanipi mimi mke, nifanyeje?

    Mr naomba nichek kwa namb yangu nikuulize kitu 0769699972
Back
Top Bottom