Sioni sababu ya kuleta hii mada humu, akati uliyafanya mwenyewe, ila ushauri wa bury,
Mimba ya 2 isitolewe Bt we tafuta namna yakumfanya huyo manzi wako wa pili kuelewa kuwa ulikuwa na mtu tayari, shida kama ulimdanganya kama upo single, itabidi ukaazime akili kwa sababu zako...