Huu mkataba wa kazi niusaini au niuache?

Udochi

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
782
1,056
Heshima yenu wakuu.

Elimu yangu ni diploma ya ualimu,
Ninafanya kazi ya kufundisha katika shule ya binafsi kwa miezi kadhaa,
Ingawa idadi ya wanafunzi ni Kubwa na vipindi kuwa vingi sana, malipo yameongezeka kidogo tu zaidi ya yale ya serikalini.

Leo nimepewa barua ya mkataba wa miaka miwili, lakini pia nina lengo la kwenda kujionea hali itakavyokuwa kwenye ajira za serikalini zitakapotoka.

Wakuu ni vizuri kuusaini huu mkataba?
Na nisipousaini watanivumilia mpaka miezi miwili mbele?
 
Daah upo kama mimi tu.hapo itabidi uchague kubaki private au kwenda serikalini ,hata hivyo it abisi utuambie mwl wa masomo gani ?
 
Heshima yenu wakuu.

Elimu yangu ni diploma ya ualimu,
Ninafanya kazi ya kufundisha katika shule ya binafsi kwa miezi kadhaa,
Ingawa idadi ya wanafunzi ni Kubwa na vipindi kuwa vingi sana, malipo yameongezeka kidogo tu zaidi ya yale ya serikalini.
Leo nimepewa barua ya mkataba wa miaka miwili, lakini pia nina lengo la kwenda kujionea hali itakavyokuwa kwenye ajira za serikalini zitakapotoka.

Wakuu ni vizuri kuusaini huu mkataba?
Na nisipousaini watanivumilia mpaka miezi miwili mbele?
nakushauri kama ndugu yangu achana na huo mkataba shule za private unafanya kazi kama punda na kibaya zaidi watoto wakifeli kazi huna,mie nimefundisha hizo shule maisha yamejaa stress tupu
 
Ukija serikalini ni kupumzika tuu.
Ila marufuku kuongeza walimu wanaolialia
 
Nikushauri usisaini, mm mwenyewe hapa nipo Private ila mda wowote naweza chomoka niende serikalini mwezi wa 7. Bora usubiri kwenda serikalini kuliko usaini private, kuja kuvunja mkataba nako ni ishu sanaaaa!!!!!
 
Heshima yenu wakuu.

Elimu yangu ni diploma ya ualimu,
Ninafanya kazi ya kufundisha katika shule ya binafsi kwa miezi kadhaa,
Ingawa idadi ya wanafunzi ni Kubwa na vipindi kuwa vingi sana, malipo yameongezeka kidogo tu zaidi ya yale ya serikalini.

Leo nimepewa barua ya mkataba wa miaka miwili, lakini pia nina lengo la kwenda kujionea hali itakavyokuwa kwenye ajira za serikalini zitakapotoka.

Wakuu ni vizuri kuusaini huu mkataba?
Na nisipousaini watanivumilia mpaka miezi miwili mbele?
Elimu yangu ni diploma ya ualimu,
Ninafanya kazi ya kufundisha katika shule ya binafsi kwa miezi kadhaa,
Ingawa idadi ya wanafunzi ni Kubwa na vipindi kuwa vingi sana, malipo yameongezeka kidogo tu zaidi ya yale ya serikalini.

Uzoefu unaniambia mikataba mingi ya shule binafsi inatoa ruhusa ya kuuvunja kwa kuandika notisi ya mwezi mmoja, ambao unalazimika kutumika bila malipo (baadhi si yote), sasa hapo shida iko wapi, ni kuusaini tu ili kulinda ajira uliyo nayo, baada ya hapo nafasi za serikali zikitoka unaachana nao tu, hakuna longolongo zaidi, mikataba yenyewe ni ujanja ujanja tu.
 
nakushauri kama ndugu yangu achana na huo mkataba shule za private unafanya kazi kama punda na kibaya zaidi watoto wakifeli kazi huna,mie nimefundisha hizo shule maisha yamejaa stress tupu
sasa watoto wakifeli unataka aulizwe nani mfano?
 
Achana na hizo longolongo tumia hii nafasi ya kuajiriwa serikalini bila kutembea na Bahasha
Masilahi yataongezeka kidogo huku serikalini
Mi nilianza huko baadaye ualimu serikalini baadaye nikaacha nikahamia idara ingine
 
Angalia mashti ya mkataba kama hayalipi sana na hapana manufaa au maslahi bora uingie kwenye ajira ya serikali ingawa kila kimoja kina manufaa na hasara zake
 
Asaini tu kisha ukisikia serikali imetangaza ajira unaachana na huo mkataba ila uwe tayari kumlipa mwajiri mshahara wa mwezi mmoja. Au unaacha kuonekana kazini wiki moja bila taarifa.
 
Heshima yenu wakuu.

Elimu yangu ni diploma ya ualimu,
Ninafanya kazi ya kufundisha katika shule ya binafsi kwa miezi kadhaa,
Ingawa idadi ya wanafunzi ni Kubwa na vipindi kuwa vingi sana, malipo yameongezeka kidogo tu zaidi ya yale ya serikalini.

Leo nimepewa barua ya mkataba wa miaka miwili, lakini pia nina lengo la kwenda kujionea hali itakavyokuwa kwenye ajira za serikalini zitakapotoka.

Wakuu ni vizuri kuusaini huu mkataba?
Na nisipousaini watanivumilia mpaka miezi miwili mbele?
Kama tatizo la pekee ni pesa kuwa haipishani sana na ya serikali nakushauri saini huo mkataba na kisha endelea na kazi. Nafasi za serikali mwaka huu hazina uhakika, inaweza ikaajiri asilimia fulani tu ya walimu na wengine ikawaacha ikala kwako. Kilichopo mkononi ni bora sana kuliko unachokiwinda mtini.
Nafasi za serikalini zikitoka wewe omba kama kawaida na ukipata na ukipenda ulipopangiwa basi andika barua ya kuacha kazi hapo kazini kwako kwa sasa.
Maisha ya ajira siku hizi ni magumu sana, tumia busara nyingi sana kufanya maamuzi
 
Elimu yangu ni diploma ya ualimu,
Ninafanya kazi ya kufundisha katika shule ya binafsi kwa miezi kadhaa,
Ingawa idadi ya wanafunzi ni Kubwa na vipindi kuwa vingi sana, malipo yameongezeka kidogo tu zaidi ya yale ya serikalini.

Uzoefu unaniambia mikataba mingi ya shule binafsi inatoa ruhusa ya kuuvunja kwa kuandika notisi ya mwezi mmoja, ambao unalazimika kutumika bila malipo (baadhi si yote), sasa hapo shida iko wapi, ni kuusaini tu ili kulinda ajira uliyo nayo, baada ya hapo nafasi za serikali zikitoka unaachana nao tu, hakuna longolongo zaidi, mikataba yenyewe ni ujanja ujanja tu.
Upo sahihi kabisa
 
Ndege mmoja mkunoni anathamani zaidi ya wale mia waliopo porini. Kama hutosaini je utaendelea kufundisha hapo? Je mkataba wenyewe si unakipengele cha kuuvunja na kinasemaje? Vp historia inaonesha walimu waliowahi kuacha kazi hapo waliondoka kwa utaratibu gani na nini kilitokea? Tuseme.umekataa kusaini.na umeachwa na shule unauhakika kuwa utapangiwa ajira na serikali huo mwezi wa 7?
 
sasa watoto wakifeli unataka aulizwe nani mfano?
Perry teaching ina mambo mengi sana ikiwemo mazingira,vitendea kazi na aina ya wanafunzi pia.Hivyo vyote vikiwa viko okey basi possibility ya wanafunzi kufanya vizuri ni kubwa,pia madarasa hutofautiana mwaka hadi mwaka,mwaka flani form four inaweza kufanya vizuri,lakini darasa linalofutwa likawa sio zuri kwa maana aina ya wanafunzi lakini kwa shule nyingi za private ambazo zina mishahara mizuri huwa hazina excuse juu ya hilo mwnye shule anaangalia ufaulu wa watoto tu bila kujua alirecruit watoto wa aina gani.Hope utakuwa umenielewa kwa kiasi.Lakini niendelee kumshauri mleta uzi kuwa government kuna fursa za kujiendeleza kielimu kitu ambacho private hakipo,government kuna mikopo yenye dhamana wakati private nyingi hakuna kitu kama hicho.
 
Heshima yenu wakuu.

Elimu yangu ni diploma ya ualimu,
Ninafanya kazi ya kufundisha katika shule ya binafsi kwa miezi kadhaa,
Ingawa idadi ya wanafunzi ni Kubwa na vipindi kuwa vingi sana, malipo yameongezeka kidogo tu zaidi ya yale ya serikalini.

Leo nimepewa barua ya mkataba wa miaka miwili, lakini pia nina lengo la kwenda kujionea hali itakavyokuwa kwenye ajira za serikalini zitakapotoka.

Wakuu ni vizuri kuusaini huu mkataba?
Na nisipousaini watanivumilia mpaka miezi miwili mbele?
Mkuu. Usaini uendelee kupiga kazi. Ukipta ajira ya umma, utawapiga chini kwa kutoa notice ya mwezi mmoja... Ni heri ndege mmoja aliye mkononi kuliko wawili walio kwenye mti...
 
Mkuu we angusha saini tu uterminate mbele kwa mbele kulingana na tewrms zilivyo
 
Back
Top Bottom