Recent content by Mangi Mkubwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Mkurugenzi wa mashtaka DPP

    WARAKA KWA MKURUGENZI WA MASHTAKA - DPP. TAKUKURU IUNDIWE TAKUKURU-JAJI LUBUVA. Kwa muda mrefu sasa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa - PCCB wamekuwa wakitenda mambo ya ajabu na kukomoa watanzania utadhani sio raia wa nchi hii. Mwezi may 2021,Mkurugenzi wa mashtaka nchini Silvester...
  2. M

  3. M

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro itupie jicho ofisi ya RPC Kilimanjaro

    Mkoa wa Kilimanjaro kwa sasa unasimamiwa na Simon Maigwa akiwa ndo Kamanda wa Polisi wa Mkoa. Mkoa wa Kilimanjaro umekuwa na tabia kwa baadhi ya Wafanyabiashara na watu maarufu pindi anapoingia RPC mpya kufika ofisini kwake na kuanza kutengeneza mazingira ya mahusiano naye kwa kutoa rushwa ili...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kufuta ushirika wa G32 ni njia sahihi ya kufufua KNCU Kilimanjaro?

    SERIKALI KUFUTA USHIRIKA WA G32 NI NJIA SAHIHI YA KUFUFUA USHIRIKA WA KNCU MKOANI KILIMANJARO? Wakuu hongereni na majukumu ya kila siku naomba niwaletee yanayojiri Mkoani kwangu kuhusu masuala ya Ushirika ambao ilikuwa na mchango mkubwa sana wa kiuchumi wa Mkoa wa Kilimanjaro. Hivi karibuni...
  5. M

  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume weusi,kiugonjwa kinachonitesa

    Karibu Ruby mimi nina sifa zote wewe tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Ndama Shabani Hussein (Pedeshee Ndama) jela miaka 5 au faini 200 milioni

    Huyu jamaa alikiri akiwa ameshajua adhabu yake itakuwa ni nini mkuu sasa ona mtu katakatisha bil unamtoza faini ya mil 200 atashindwaje kulipa? Ndio maana hata kukubali kosa kwake hakukuwa shida
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbegu ninazotoa kila siku zinaniuma

    Mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu mkuu ongea nae kwa imani yako pia chezeni muda wote siku nzuri za kushika mimba na nyingine utafanikiwa
  9. M

    JamiiForums Tanzania MTAZAMO: Namna Millard Ayo blog inavyoenda kufa kifo cha mende

    Ulietoa uzi huu nakupongeza sababu umegusa pande zote mbili mazuri na pia madhaifu ambayo yameanza kujitokeza kwa wale tuliosoma marketing tunasema Milard amepata mrejesho kutoka kwa audiance hivyo anapaswa kuufanyia kazi ili kutengeneza kitu wanaita audiance satisfaction vingine atapoteza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania TUCTA yatua rasmi Kilimanjaro

    Habari za asubuhi. Leo Junamosi Katibu Mkuu wa TUCTA atakutana na vyombo mbalimbali vya habari Mkoani Kilimanjaro kuzungumzia agenda mbalimbali kubwa itakuwa ni maandalizi siku kuu ya wafanyakazi Mei Mosi, Ukumbi wa Ofisi ya RC saa 2:30 asubuhi. Nikiwa kama mdau wa masuala ya habari nami...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Toyota passo inauzwa

    Imeshaenda au bado ipo
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila tunapotofautiana kidogo anakimbilia tuachane

    Kama ni kupanic anapanic sana baadae ndio anakujaga kujuta
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila tunapotofautiana kidogo anakimbilia tuachane

    Hhaha si bora hiyo kuliko kila mnapotofautiana mwenzako anaenda kwenye kutaka muachane halafu ugomvi ukiisha anataka ajue mipango ya kuolewa imefikia wapi is that right kweli?
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila tunapotofautiana kidogo anakimbilia tuachane

    Hata mimi nimekuwa na wasiwasi katika hilo hususani ma x zake au wafanyakazi wenzake
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila tunapotofautiana kidogo anakimbilia tuachane

    Halau anakwambia kama unataka tuachane ni bora ukaniambia hivi anakuwa anamaanisha nini mkuu duh kweli wanawake wasikie tu
Back
Top Bottom