Matapeli sana hawa viumbe...mwenyewe wanakata pesa then hawakuunganishi mwenye bundle au una elfu mbili then wanasema pesa haitoshi kujiunga na kifurushi...wanaboa sana hawa viumbe.
Huyo aliyempa gemu ya ukweli na kumfikisha orgasm ana chance kubwa...but pia walispend more tym ktk game inaincrease chance...bt kama walivyosema wadau inategemea yai lilishuka saa ngapi....yoyote anaweza kuwa baba hapo.
Nahisi CCM na CHADEMA wana tofautiana sana katika tafsiri ya neno wanachama, CCM inawatafsiri wanachama kuwa ni wale viongozi wa chama chao, ndio maana hata kwenye mchakato wa katiba wamewahusisha viongozi peke yao, CHADEMA inawatafsiri wanachama kuwa ni wale mwenye kadi na mapenzi mema na...
We nae acha ubishi, wananchi wengi ambao pia ni wanachama wa vyama vya siasa hawakai kwenye majengo ya taasisi yenu useme eti utaongea nao wengine wasijue. Wanachama wa vyama vya siasa ni sehemu ya wananchi na njia iliyotumiwa na CHADEMA ni njia pekee ya kumfikia kila mwanachama tena kwa gharama...
Shirikisha ubongo japo kidogo tu, wangekuwa wanataka watu wengi wangeenda ubungo na kawe, lengo sio kutafuta watu wengi bali kuwafikia watu sehemu zote za Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.