Recent content by mangasala

  1. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Haki yake ya uhuru wa maamuzi kaitumia vizuri
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My Man is a workaholic

    Kwa mwanamke kamili hashindwi mtihani huu, tumbo busara kama mwanamke atabadilika
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muangalie muda wa kuwaacha wapenzi wenu

    WEWE ACHA KABISA KIBUTI NINOMA! sasa hivi mwendo uko hivi, una toa nitice ya maonyo,kusudio la kibuti halafu kibuti rasmi hapo hakitaumiza sana. Lakini cha ghafla tutauana jamani tuoneane huruma.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Kagame's doctor mysteriously killed in police cell

    This is how leaders and government have to react against all betrayers, we as africans should have serious and one who will act and direct how nation should go. Sio kuchekea wahuni wanaovaa suti za ulaya kwa pesa za waafrika huku wenye pesa zao wanakula mlo mmoja. Mataifa mengi Afrika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Diaspora wengi na watoto wao hawawezi kuuimba kikamilifu wimbo wa Taifa

    hoja yako ni nyeusi, ipake carolite
  6. M

    JamiiForums Tanzania Channel ten ni ya Sangoma, mitishamba na madaktari Pori

    Yangu macho na mkono shavuni
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ndalichako awa Profesa

    Binafsi nampongeza mama huyu, maana vyeti vya wa tz wengi vina mtambua. Ila kama mwanadamu wa kawaida kukosea ni wajibu. Kama alifanya makosa kwa makusudi au kuchomekewa yeye na mola wake wanajua ukweli. Ila si vyema kuweka mlolongo wa mazungumzo yanayoakisi kundi la imani fulani. Tanukeni kifikra.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Walimu na Wanafunzi wa Kishapu Sekondari, wamekithiri kwa ngono

    Hapa hapuuzwi mtu ila tusiandikiwe mambo ya kufikirika, aweke vielelezo vya kuaminika, isiwe mambo ya kuchafuana na utoto wa fb
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nitatambuaje samsung galaxy yangu kama feki?

    AHSANTE MKUBWA KWA KUTUJULISHA MAANA SIMU ZA KICHINA ZIMEKUWA KERO TUNANUNU HATA TATU KWA MWAKANI. ILA NAOMBA PIA UTUJULISHE SISI WA itel Tutazijuaje kama ni halisi au mchina?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza juu ya ulaji wa mafuta wa Noah

    FANYA MAJARIBIO KWA KUTUNZA KUMBUKUMBU ZA MASAFA KATIKA BARABARA ZENYE HALI TOFAUTITOFAUTI. HAPO UTAJUA NOAH INACONSUME KIASI GANI/km
Back
Top Bottom