Recent content by Mangalu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Taifa limepoteza Uhuru

    Tatizo la sisi watanzania tunapenda kudamganywa na sio ukweli
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara mkubwa wa madini wa Arusha afariki ghafla Mahenge ( Henry Nyiti)

    alikuwa kama kiongozi gani?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Trafiki mwingine nusura auwawe

    acha wagogwe maana wamezidisha rushwa pili wanatumikia chama cha mafisadi wanatunyanyasa sana.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Singa Singa Aua mtu kwa Bastola Kinondoni Mkwajuni

    Nchi inaendeshwa kichama
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wazo la Leo....

    mpenzi wako akizingua achana nae akiuliza vipi mpenzi mwambie bora kung'oa jino kuliko kukaa na jino bovu......!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete atuma salaam za rambirambi kwa askari aliyegongwa na msafara wake

    Ajali haikingiki maana hatakama angekuwa nyumbani kwake angekufa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kabila la Kiiraqw laweza kupotea kabisa Tanzania

    umenikumbusha mbali sana mkuu wakati nipokuwaga singida nasoma shule ikhanoda darasa la 3 mwaka 2004 Kwaya ya paradiso ilikwenda kutembelea maretadu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa watumiaji wa internet

    na mwenye masikio haambiwi tazama.
Back
Top Bottom