Tahadhari kwa watumiaji wa internet

Tahadhari kwa watumiaji wa internet

Karibu ndugu yangu ktk technologia chief-mkwawa
labda unanyongeza ktkt hili
 
Last edited by a moderator:
Sasa hii imekaaje ? yaani kila nikienda cafe basi nianze kuhangaika mvunguni kuitafuta hii cable...dah
 
Sasa hii imekaaje ? yaani kila nikienda cafe basi nianze kuhangaika mvunguni kuitafuta hii cable...dah

Ndo maana yake........ujiandae pia kuitiwa mwizi......
 
Aisee hii kali!!! kweli nikishtukia issue kama hii huyo mwenye cafe atanifata kwangu kunitaka radhi huo mkwara nitaopiga hapo!!
 
Rangi hajalishi.mtoa maada nazani anamaanisha magnetic device.so any kind of device inserted to device chamber hav doubt
 
Asante kwa tahadhari kabla ............................
 
Tangu siku nilipo ambia kuhusu haya maujinga ndio ilikuwaa mwisho wangu wa kwenda migahawani. Kwa sasa ni mwendo wa simu tu! Kama kuna la zaidi nitatumia ka-dell kangu ka nyumbani. Unaweza kujikuta uko uchi siku moja.
Tena Kariakoo mtaa wa Kongo mida ya jioni.
 
Rangi hajalishi.mtoa maada nazani anamaanisha magnetic device.so any kind of device inserted to device chamber hav doubt

Ushauri wake una mapungufu hapo basi.

Maana mtu anaweza kuangalia kama kuna kitu cheusi, akakuta cheupe, akasema jamaa alisema cheusi hiki sicho.

Security is vigilance. Vigilance is details.

Confusing people with colors while the essentials could be planted in any color, while still maintaining the goal of raising awareness, falls short of the goal of maintaining vigilance and may actually steer people the wrong way, to look for black pins, as if white pins cannot be just as deadly.
 
acha ushamba umeambiwa kadude keusi full stop!
 
Asante kwa taarifa.Anayejua alete taarifa kinafanyaje kazi hicho kifaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom