Tume ya Warioba ni tume ya tatu. Tume ya kwanza ilitoa mapendekezo ya wananchi kuwa ni serikali tatu, Chama tukakataa, tukaunda tume ya Pili, nayo pia ikaja na maoni yaleyale ya serikali tatu, chama tukasema HAPANA. tumeunda tume ya tatu, nayo pia inasema maoni ya wananchi ni serikali tatu...