Hoja yangu Tony Gwanco; Nimeamua kukubali serikali tatu

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
5,913
1,209
Ni baada ya kugundua yafuatayo

1. Kwa sasa zanzibar wana marais watatu wanaopewa mshahara nao ni
1/dk.mohamed shein
2/sharifu hamadi
3/seif idd

Muwa makam wa rais ni kwamba upo kirais zaidi na unalipwa kirais na kiurais.
Kumbuka kauli ya jk.kuwa hana mshirika wa urais zaidi ya makam wake

2. Zanzibar ina marais na makamo rais pia mawazir viongozi wengi kuliko tanganyika ambao wanalipwa pesa nyingi kuliko wa tanzania bara ambao wanalipwa kupitia hazina ya Tanganyika

3/ Wakati sisi watanganyika tukiweka mashada ya maua kila april 07 wao wanamdhihaki nyerere wetu na kudai maisha magumu ni sababu ya baba wetu wa taifa aliyezuia zanzibat isigawanyike baada yq mapinduzi na uhuru wa zanzibar


I need my Tanganyika
 
serikali tatu ni swala la muda lakini halizuiliki ili tuendane sawa bila malalamiko ni wazi kila nchi inabidi ipate mamlaka yake kamili badala ya hii hali inayoendelea sasa hivi
 
"..........kama lengo lenu ni bora lizame tugawane mbao, bora mzigawane baada ya ......
 
Ooyooo nasikia sasa na wao wa zenj wanadai zana nzeto za kivita wawe nazo na washachoka na kujilinda na manati naona hapo sasa washashutuka ya koti kubana na hao ni magamba ya zenj
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom