Recent content by Maneza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ni matangazo

    Njia moja wapo ya kuwafanya watu wanunue kutoka kwako... Ni kuwaonyesha Na sio kuwaambia Unahitaji kuwaonyesha [emoji117] Uzoefu wako [emoji117] Matokea ya bidhaa yako [emoji117] Matokeo ya wateja wako [emoji117] Faida ya bidhaa yako [emoji117] Urahisi wa kutumia bidhaa yako [emoji117]...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ni matangazo

    Kuwa na Bidhaa au Huduma nzuri sana Bila kuitangaza Au kuweka bajeti kwaajili ya kuitangaza Ni sawa na kuwa na gari nzuri sana Pengine BMW, PRADO au Benz Isiyo na mafuta ...Hakuna atakayeiona Wala kuona uzuri wa gari lako Hakuna atakaye kuona WEWE mwenye hiyo gari nzuri Najua unafahamu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

    Huo ndo upeo wa akili yako
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nini faida ya Instagram Page yenye Followers wengi?

    Kwa nn usijifunze jinsi ya kufanya na we ukuze followers wako?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Don’t Start Online Business Kama huna vitu 5 vifuatavyo

    Unaweza kuanza vyovyote vile lakini chamsingi uwe unaijua vizuri hiyo biashara na uko vizuri kwenye sales and marketing # Know your niche
  6. M

    JamiiForums Tanzania Utapeli mpya: Kufundishwa kupiga pesa mtandaoni, tamaa na ushamba wako ni hatari, jihadhari

    There is a booming industry called knowledge business industry, Forbes wanasema hii industry ina utajiri wa $ 350 million per day na kufikia mwaka 2025 hii industry itakuwa na utajiri wa $ 1 billion per day Kweli kuna watu ni mabilionea huko duniani na kazi yao ni kufundia wenzio vitu au...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya 'kiboya' lakini yenye pesa ndefu!

    Individually ni ngumu kuaminika labda ifanywe kama kampuni
  8. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya 'kiboya' lakini yenye pesa ndefu!

    Inatakiwa ifanywe na watu ambao ni vetted, verified and background checked people
  9. M

    JamiiForums Tanzania NHIF ni taasisi ya ovyo haijawaitokea duniani!!

    Mfuko uko ICU
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mentorship

    Hello Naomba kupata experience expert and successful social media marker na copywriter tuongee kuhusu kunifanyia mentorship Kwenye kumjua au kama yupo humu please naomba tuwasiliane Asanteni
  11. M

    JamiiForums Tanzania Fahari Investment: Changamkia fursa kwa shilingi 3000 tu

    There is no shortcut to success
  12. M

    JamiiForums Tanzania How to start a Business

    OK vizuri
  13. M

    JamiiForums Tanzania How to start a Business

    Why no tech ideas?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Unataka kufanya kazi zako Online ukiwa nyumbani? Soma hapa

    Jamani muwe mnatoa kitu mnachoweza kufundisha wengine maana huenda kuna mwezako anatafuta wakumwelekea hicho kitu
Back
Top Bottom