Biashara ni matangazo

Maneza

Member
Aug 6, 2018
45
70
Kuwa na Bidhaa au Huduma nzuri sana

Bila kuitangaza

Au kuweka bajeti kwaajili ya kuitangaza

Ni sawa na kuwa na gari nzuri sana

Pengine BMW, PRADO au Benz

Isiyo na mafuta

...Hakuna atakayeiona

Wala kuona uzuri wa gari lako

Hakuna atakaye kuona WEWE mwenye hiyo gari nzuri

Najua unafahamu msemo unaosema

Biashara Ni Matangazo

Hivyo unaweza kuwa na Bidhaa au Huduma nzuri sana...lakini kama huitangazi

Utajikuta mshindani wako ambaye pengine bidhaa au Huduma yake ni ya kawaida kuliko Yako

Ana Tengeneza mauzo na faida kubwa sana kuliko WEWE mwenye hiyo Bidhaa au Huduma Kali Sana

Katika biashara au kampuni Yako

Sehemu muhimu sana

Ambayo Ni injini na uhai wa biashara Yako au hiyo kampuni Yako Ni MASOKO... MARKETING

Unatakiwa kutangaza Biashara Yako Muda wote

Ili ijulikane zaidi, ipendwe na inunulike zaidi

Na WEWE kama Mjasiliamali au mfanyabiashara

Uweze kuhudumia wafanya Kazi , kulipia Kodi mbalimbali na Kukuza Biashara Yako..

Ona..

Unajua Ni Kwa Nini Coca-Cola, Pepsi, Mo, Azam na makampuni ya Simu yanafahamika sana?

Bidhaa na Huduma zao zinafahamika sana?

Na wanatengeneza mauzo na faida za kufa mtu Kila siku?

My friend Ni kwa Sababu wamewekeza vyakutosha kwenye Matangazo..

Business is a game of number

The more people see your product..the high chance they will buy..

Yaani Biashara Ni mchezo wa namba

Kadiri meseji za bidhaa au Huduma Yako zinavyozidi kuonwa na kuwafikia watu wengi ndivyo

Unavyoongeza nafasi ya wao kutamani kuinunua na kuitumia..

Bahati nzuri kwa sasa hata kama WEWE Ni Mjasiliamali mdogo ambaye huwezi kumudu gharama za Matangazo kwenye TV au Radio..

Unaweza kutangaza Biashara Yako Kwenye Mtandao wa Internet

Kama vile Facebook na Instagram

Na unaweza kunasa wateja wengi...vile vile bidhaa au Huduma yako ikawafikia wengi na kujulikana zaidi

Gharama za Matangazo kwenye Mtandao wa Internet Ni rahisi Sana..

Yaani Ni kuanzia dollar moja Tu kwa siku ambayo Ni sawa na Tsh. 2315 za kitanzania

Kama huwezi Kufanya hivyo unaweza kujifunza au kutafuta watalaam internet Marketing

Wakakusaidia..

Naimani post hii itakusaidia

Kama kweli WEWE Ni Mjasiliamali unayependa Kupata wateja wengi na Kukuza Biashara Yako




Best

FB_IMG_1614157714198.jpg
 
Njia moja wapo ya kuwafanya watu wanunue kutoka kwako...

Ni kuwaonyesha

Na sio kuwaambia

Unahitaji kuwaonyesha

Uzoefu wako

Matokea ya bidhaa yako

Matokeo ya wateja wako

Faida ya bidhaa yako

Urahisi wa kutumia bidhaa yako

N.k

Wajasiliamali na wafanyabiashara wengi

Huwaambia wateja wao

Badala ya kuwaonyesha

Kuwaambia watu kuhusu ubora wa bidhaa Yako

Au uzuri wa bidhaa yako

Ni kama vile kusimulia hadhi

Hakuna uaminifu

Watu connection

Mtu atakusikiliza tu

Hivyo next time

Tumia kuwaonyesha nini wanachopata

Baada ya kutumia bidhaa yako

Au kwa nini watumie bidhaa yako

Mfano ni wale watu wa network marketing

Watakuambia

Unaweza Kuingiza Pesa nyingi kila siku

Kuanzia Tsh. 60,000

Au..

Tsh 90,000 kwa siku

Just telling

Hawakuonyeshi utakuwa unafanya nini Kuingiza hizo Pesa

Au hata yeye penyewe haonyeshi Kuingiza hizo Pesa

Ndiyo maana mwisho wa siku unamwona kama tapeli

Kwahiyo

Kwenye kila madai unayofanya kuhusu biashara au bidhaa yako...

Kwa mteja wako, mwonyeshe vithibitidho

Mwonyeshe Ushahidi..

Ukifanya hivyo..

Atakuamini

Ataamini bidhaa yako

Na hatimaye

Ataamua kununua kutoka kwako

Tena bila wasiwasi

Kama WEWE Ni Mjasiliamali

Naamini hii itakusaidia


Best

Ezekiel Mahewa
IMG-20210217-WA0013.jpg
 
Kuna Jamaa Namjua ni Dalali wa Magari tu
Hapo Mlimani city...yeye haipiti siku mbili kauza gari. Kila siku anaokota hela tu.
 
Matangazo mengi wanatumia lugha za kihuni mfano mtu anauza gari kwenye tangazo kaandika,gari haina kipengele,gari kinanda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom