Recent content by manento93

  1. manento93

    JamiiForums Tanzania Je, wapi naweza kupata simu za zamani kama Nokia 6300, Exp 3300 nk, Blackberry na Motorola

    Mkuu kwann zinakuwa na bei hivyo? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. manento93

    JamiiForums Tanzania Je, wapi naweza kupata simu za zamani kama Nokia 6300, Exp 3300 nk, Blackberry na Motorola

    Habar, Je wapi naweza kupata simu za zaman zamani kama Nokia 6300, Exp 3300 nk, Blackberry na Motorola za miaka ya 2000's. Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  3. manento93

    JamiiForums Tanzania Nahitaji akaunti ya benki ya fixed itakayokuwa rahisi na salama

    Habari, Nawezaje kupata huduma ya fixed account ambayo Nita deposit kwa miamala ya simu kwa namna rahisi na salama? Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. manento93

    JamiiForums Tanzania Je, kuna kitu serikali inatuficha kuhusu usalama wa nchi au ni uchochezi tu wa “mabeberu”?

    Tanzania sio sehemu salama kwa uhalifu\ugaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. manento93

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Tecno mnawaelewa?

    Sasa nikipeleka camon CX yangu watataka na tsh ngap wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. manento93

    JamiiForums Tanzania Nimechoka sana na maisha

    YANI SASA NIKUAMBIE, UNAPITA KWENYE HII MUVI, UNA BONGE LA NEEMA MBELE YAKO.
  7. manento93

    JamiiForums Tanzania Magari yote Kaskazini ya Tanzania

    Huyu mwenye huu Uzi ana confidence balaa tehetehe
  8. manento93

    JamiiForums Tanzania Mnatutenga sana sisi wenye akili na ufahamu wa juu. Ubaguzi wenu unaonekana wazi wazi

    Mim nlianzishaga Uzi wenye utata, comments ucku na mchana, ila mambo ya maana nimepuuzwa sana
  9. manento93

    JamiiForums Tanzania Msaada: Diploma ya Diplomasia

    Asante Mkuu, je ukiwa na astashahada yoyote vipi?
  10. manento93

    JamiiForums Tanzania Inaweza kunigharimu kiasi gani cha pesa kujenga Jengo kama la ikulu?

    Msimdharau msiemjuA, tuna shida gani ase
  11. manento93

    JamiiForums Tanzania Msaada: Diploma ya Diplomasia

    Wakuu habari za majukumu. Kama kichwa kinavyoeleza, ninaomba kupatiwa ufafanuzi wowte kuhusu masomo ya Diplomat Vyuo vinavtotoa kozi hiyo, na sifa za anayehitaji kusoma. Naomba mnipe mchango wenu. Asanteni.
  12. manento93

    JamiiForums Tanzania MSAADA: MAJINI WANYWA MAJI

    Ndugu mbona inatisha!!!?
  13. manento93

    JamiiForums Tanzania MSAADA: MAJINI WANYWA MAJI

    Asante masta konki konki konki mshana jr
  14. manento93

    JamiiForums Tanzania Makonda awatetea wanaume wa Dar

    Puuz
  15. manento93

    JamiiForums Tanzania MSAADA: MAJINI WANYWA MAJI

    Watag plz
Back
Top Bottom