Enzi za babu zetu hakukuwa na Dini za kuletewa,waliabudu hiyo mizimu mambo yalikuwa shwari, na hapa kuwa na ukimwi, wachungaji wa mwendokasi au wajasiria mali wanaotumia biblia.. majanga ya kutisha,ndoa za jinsia moja, ugaidi..lakin Dunia ya leo ya watu wanaotambua uwepo wa Mungu ndio imeongeza...