Wanataka kujenga kupitia makosa ya madereva? Shukrani kwa waliopingaKAMATI ya Katiba na Sheria imekataa mapendekezo ya ongezeko la faini kwenye Sheria ya Makosa ya Barabarani ya mwaka 1973 kutoka Sh.10,000 na Sh.50,000 hadi kufikia Sh.200,000 na Sh.500,000 kwa maelezo kwamba ongezeko hilo halitapunguza ajali.
very good pointHaipunguzi ajali zaid kama watumike kama sehemu ya kukusanya mapato,inachotakiwa kila mwezi watuletee ripot kuwa mwezi uliopita kulikuwa na ajali kiasi Fulani mwezi huu zimepungua ngapi na sio ripot ya kuonyesha kuongezeka Kwa mapato Kazi yao ni kudhibit ajali
Aliyependekeza viwango hivyo siyo mtanzania. Unapendekeza kiwango ambacho kunazidi basic salary ya mtanzania?KAMATI ya Katiba na Sheria imekataa mapendekezo ya ongezeko la faini kwenye Sheria ya Makosa ya Barabarani ya mwaka 1973 kutoka Sh.10,000 na Sh.50,000 hadi kufikia Sh.200,000 na Sh.500,000 kwa maelezo kwamba ongezeko hilo halitapunguza ajali.