Recent content by Manema Jr

  1. Manema Jr

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwa Dr. Mwaka

    Umeongea mkuu,,safi sana
  2. Manema Jr

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo; Ilikuja kwa kasi na inakufa kwa kasi ya ajabu

    Huwezi ukalinganisha mkoa wa Kigoma na Arusha kubwa sana mkipigwa mkubali tu! Hata ukiachana na wilaya za mkoa wa Arusha,chukua tu jijini tu yaan mjini pale zile kata 25 kama ni mkoa wa Kigoma unazo wilaya ngap? Tuje tena wakazi wa A City na Kigoma ni sawa?? Think 2 b4 comment,,, ACT MNAKUFA...
  3. Manema Jr

    JamiiForums Tanzania Alphonce Mawazo Kutokuzikwa Kesho

    RIP mpendwa wetu
  4. Manema Jr

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kinondoni yabomoa nyumba zilizojengwa kiholela

    Ww hujielewi ungekuwa ww au wazazi wako ndio wanabomolewa ungesema hivyo??? Umekera sana! Acha uchama toa changizo
  5. Manema Jr

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashinda udiwani kata ya Saranga

    PEOPLE'S power watatuelewa tuu
  6. Manema Jr

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Ww acha uongo unataka kick au
  7. Manema Jr

    JamiiForums Tanzania Habari ya Clouds TV mmenunuliwa na CCM?

    We Clouds sio ya Muhaya ni ya Mjita _Kusaga sio Ruge,Ruge ni mfanyakazi tu.....
  8. Manema Jr

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif ahutubia umati wa wafuasi wa CUF Buguruni saa 3 usiku jana

    Safi sana CUF
  9. Manema Jr

    JamiiForums Tanzania Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

    Azam noma,piga hao wakenya
  10. Manema Jr

    JamiiForums Tanzania Kinachowachelewesha UKAWA hiki hapa

    Tuko pamoko na nyie
  11. Manema Jr

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba kugombea tena ubunge jimbo la Iramba

    Anapata kwao Singida wanamkubali sana
  12. Manema Jr

    JamiiForums Tanzania Dk. Magufuli ajitosa Katiba Mpya, awabeza CHADEMA

    Kwa Tanzania yetu hii,,,watu wameshasahau kama walichakachuliwa katiba yao mimi naona hakuna jipya
  13. Manema Jr

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latangaza donge nono la Tsh. 50,000,000/=

    Polisi ndio wanajukumu la kuwalinda raia na Mali zake ndio maana wako wizara ya mambo ya ndani,kwa hyo ww ulitaka na jeshi liingie,jeshi aliwezi kuingia katika mambo ya ndani hapo watakuwa wanawaingilia Polisi jukumu lake labda itokee Polisi ishindwe ndio waliombe Jeshi ,NB Jeshi wao wanalinda...
  14. Manema Jr

    JamiiForums Tanzania Iran: Israel itafutwa kwenye ramani ya dunia

    Ni kitu kigumu na hakiwezi kutokea yaani,,,,Israeli ni taifa teule la Mungu (wa-Wakristo) kwa Imani na kamwe hakuna taifa linaloweza kumtisha Israeli na hata Marekani analijua hilo na ndio maana hamuachi
  15. Manema Jr

    JamiiForums Tanzania Moses Machali ajiondoa NCCR-Mageuzi na Kujiunga ACT-Wazalendo

    Wanaenda kwa mkumbo
Back
Top Bottom