Recent content by mandwa

  1. mandwa

    JamiiForums Tanzania Nyama ya kitimoto bei ya jumla

    Mkuu nifanyie kilo5 za matumizi ya nyumbani
  2. mandwa

    JamiiForums Tanzania Ni jukumu la mzazi hasa Baba kumtafutia Kijana wake Connections za Kazi

    Mwoga kivipi mbona wenzake ofisi mmoja wamewasaidia watoto wao?halafu msomi
  3. mandwa

    JamiiForums Tanzania Ni jukumu la mzazi hasa Baba kumtafutia Kijana wake Connections za Kazi

    Asante sana hadi machozi yamenitoka nikimfikiria baba yangu amekua serialised kwa muda mrefu sana katika watoto wake 4 hakuna hata mmoja aliyemsaidia kupata kazi si serikalini wala kampuni binafsi mama amekua akigombana naye sana lakini hakufanya kitu yeye utetezi wake anasema hatujasomea lakini...
  4. mandwa

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Mkuu wadudu sugu wananisumbua kwenye banda la mbwa wadudu kupe nimenunua dawa aina ya dip haijasaidia Banda la mbwa ni la matofal wadudu wanajificha kwenye ukuta je kuna dawa ambayo ni kali zaidi ya dip
  5. mandwa

    JamiiForums Tanzania Fundi wa cctv camera in dar es salaam

    Gharama zipoje
  6. mandwa

    JamiiForums Tanzania Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza nafasi za kazi kwa watendaji watakaosimamia Uchaguzi

    Akuna uchaguzi mwaka wa mabadiliko
  7. mandwa

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Probox used Nina 5.5M 0749442229

    Gari nzuri ngoja wadau waje
  8. mandwa

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli iPhone, Infinix na Tecno ni simu za wanawake?

    Team Samsung mpo
  9. mandwa

    JamiiForums Tanzania Madereva wanaitajika

    Matapeli
  10. mandwa

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ajira/kazi/kibarua

    Shiling Mia kila mfuko gari inakuja na mifuko 600×100
  11. mandwa

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Security camera kama bulb, bei 30,000 tu

    Nitakutafuta naitaji za solar
  12. mandwa

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ajira/kazi/kibarua

    Unaweza kubeba mifuko ya cement kushusha kwenye gari zinazotoka kiwandani kijana?
  13. mandwa

    JamiiForums Tanzania KAZI

    Tusiombane pesa plse
Back
Top Bottom