Recent content by mandingo6262

  1. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Tume inataka kunihujumu Kigoma Kusini

    Kafulila kavuna alichopanda, nani alimwambia atukane wapiga kura wake?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

    Kama ku battle na battle, Usinione underground, Hasira kwenye msoto, Na idea zinazosound, Hii verse imeenda shule wala haitaki, mizani, Uzi to wangu ni soo haupimiki kwa mizani, Na ryms zangu ni hoo t ikuingiapo sikion,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nahitaji kubadilisha gear box ya gari(TOYOTA hiace engine 1tR) kuIfanya manual. Haina tatizo ila ni kwamba ulaji wa mafuta wa auto uko juu sana. Nahitaji ushauri kwanza ni vifaa gani vitahitajika na vinaweza kugharim kiasi gani? Vilevile je hii gear box nitayotoa naweza kupata mteja?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

    Aliyeleta post anaumwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kipindi Maalum: ITV kuonesha historia ya maisha Dr. John Magufuli

    Bora huyu kuliko yule asiyeweza hata kugeuza shingo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanavyuo wampongeza Lowassa

    Mleta mada hujielewi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Ali K hajajitambua bado, hivyo akijitambua ataweza
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Kili music awards
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Uking mwisho ktma
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Vipi kwa ajili ya biashara ya daladala maana mie nipo Mwanza na huku mafundi wanadai 3l na 5l ndo zinastahimili. Vilevile ndo zipo nyingi ktk biashara hii. Pia nikiangalia bei naona 1kz zina bei nafuu kuliko 3l na 5l lkn hazitumiwi sana kwenye biashara.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bado Simuamini kabisa Lowassa. UKAWA Naombeni Mnishawishi nimpe kura yangu

    Pesa za Lowasa anazozitumia kuwalaghai wapiga kura unajua zatoka kwa nani?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari zenu, msaada tafadhali........ Naomba kufahamishwa juu ya tofauti ya ubora wa toyota hiace yenye engine ya 3l na toyota hiace yenye engine ya 1kz.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Chukua carina, japo cna hakika kama iyo bajet itatosha
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    Huo mkutano ni saa ngapi?
Back
Top Bottom