mandingo6262
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 424
- 82
Kafulila kavuna alichopanda, nani alimwambia atukane wapiga kura wake?
Hivi Like zimeenda na tume ya uchaguzi??
Kubali matokeo Kafulila afadhali ya nusu shari kuliko shari kamili,Filikunjombe yuko wapi leo?
mgombea ana haki ya kufanyika recount,,sababu za kafulila kukataa kuhesabu upya hazina logic....
kama zitaongezeka kura fake si hazitaona na daftari la wapiga kura,,wasiwasi wake ni ni ?
Kafulila anatafuta njia ya kutokea, ameshindwa vibaya hajui ataificha wapi sura yake, alilewa sifa mpaka kufikia hatua ya kuwatukana ndg zake ili kuwafurahisha mabwana zake!
Jimbo la Kigoma Kusini limerudi CCM na mshindi ametangazwa tangu jana, yeye anahangahika kwenye mitandao eti Tume inataka kumuhujumu teh teh teh mwambieni aende mahakamani!
- Wote waliokubali zoezi la kuhesabu upya wameanguka, hivyo usikubali!
- Kwani mkuu wa Mkoa ni nani katika Tume?
- Vyema timu iliyoshinda, Kubenea, Lissu, Mnyika, Mdee nk waje huko kukuongezea nguvu!
Aache kulialia aachie tu jimbo ndivyo mambo yalivyo.
Lazima Zitto aheshimiwe.
Mimi nalaumu sana kina mbowe wao walijua mchezo kwanini walipoteza muda majukwaani badala ya kuwapa semina wagombea, tutamkumbuka slaa kwa mikakkati, semina ilikuwa muhimu sana kwa wagombea.ila kwa wenje huyo kazembea kwani anaijua michezo ya ccmWatumie karatas za mawakala na sio za kwenye box hizo tayar zishachakachuliwa akijiloga wahesabu hizo ndio yatamkuta ya lembel na wenje na lucy kigambon
Mkuu nimekuelewa vizuri sana....so sadCCM wanaiba na kuchakachua kura, kwa kuingiza mabox mengine ktk vituo...ENDAPO UTAKUBALI TU KURA KURUDIWA KUHESABIWA KWA KUPITIA MASANDUKU... utaanguka, sbb wanabaki na yale masanduku Mkuu wa Mkoa na bwana halmashauri, kisha wanaingiza kura mpya... so UKIKUBALI TU KURUDIA KUHESABU KURA KWA KUPITIA MABOX utaanguka vibaya kama WENJE... kubali kurudia mahesabu KUFUATA FOMU ZA MATOKEO ambazo tayari zina matokeo halali... sio kurudia mabox...!!! WENJE ALIANGUKA KWA NJIA HIYO...!!!! PIA KIWIA wa Ilemela alianguka kwa njia hiyo ya kuhesabu mabox kwa mara ya pili...!!!!
So, kama unarudia kuhesabu, TUMIENI MATOKEO YA FOMU KURUDIA MAHESABU...!!!!
CCM ndio njia kuu hii wanatumia kuiba kura...!!!