Embu jaribu kufikiri kinyume chake kama shule za kata zisingekuwepo. Usipayuke tu kwa sababu una ID ya kuingia JF. Tafakari Kabla ya kuongea hivi unajua ni kiasi gani shule za kata zinasaidia watanzania walio wengi.?El amejenga shule za kata Ndio zinatupa sababu ya kujidai kila kijiji kuna wasomi