ni nchi ilee iliyojaa ustaarabu,ni nchi isiyo na mafisadi,ni nchi ambayo raia wake have not been poisoned by alcohol,ni nchi ambayo hakuna machangu i mean maprostitutes,ni nchi ambayo imezungukwa na urembo wa mahari ya hindi,ni nchi inayojumuisha vizazi vingi na vizazi mchanganyiko kama vile...