Wanamtwara mmesahau kuliwa na Simba?

Wanamtwara mmesahau kuliwa na Simba?

Ccm yote shida ukiwemo wewe,lakini ninavuojua wtu Wa ukanda Wa pwani na akili Yao ya kuoa watoto wenye umri Wa miaka 8 kama Masai ni shida nchi hii !

bila kusahau na ukanda wa ziwa pia.ndoa hizo zipo.mkuu
 
Embu toa hoja na sio mipasho.Naamini kuhamishwa watu kutoka kijiji kimoja mpaka kingine ndio imeondoa ubaguzi wa makabila otherwise tungekua kama Rwanda au Burundi so better think first mdau + Bila sacrifiz,hatuwezi kufika pale tunapotakiwa kufika na ndio mana watanzania wenzetu walienda kupambana na Iddi Amin na naamni kwa statement yako,unataka pia wanajeshi au ndugu wa wanajeshi waanze kumlaumu Mwalimu kwa kuwapeleka vitani/

Think ndugu
 
Acha kupotosha hapa Nchi yetu ya TanZania haijawahi kuwa na huo unaouita Ukabila, hilo halijawahi kutokea na wala halina uhusiano wowote ule na Mlm.Nyerere
(,,Apumzike kwa Amani")!
Mlm.Nyerere alizaliwa na kuikuta nchi yetu kama ilivyo leo ilikuwa haina huo unaouita ukabila sasa iweje uanze baada ya Uhuru?
 
Embu toa hoja na sio mipasho.Naamini kuhamishwa watu kutoka kijiji kimoja mpaka kingine ndio imeondoa ubaguzi wa makabila otherwise tungekua kama Rwanda au Burundi so better think first mdau + Bila sacrifiz,hatuwezi kufika pale tunapotakiwa kufika na ndio mana watanzania wenzetu walienda kupambana na Iddi Amin na naamni kwa statement yako,unataka pia wanajeshi au ndugu wa wanajeshi waanze kumlaumu Mwalimu kwa kuwapeleka vitani/

Think ndugu

Lazima tumlaumu
Labda uwe haujui athari za vita ya , kwanza ilimfifisha nguvu Kwa sababu ya uchumi kuyumba na kukubali kufutwa Kwa azimio la arusha na kuamua kabisa kuachia ngazi kwani alijua vita ile imemgharimu sana na hasingeweza kuimarisha nchi tena Kwa sera za ujamaa wakakubali wote na ccm yetu kuhamia kwenye uchumi huru ili kila mtu amiliki uchumi na si jamii

Kwa werevu wa mambo tunajua angeweza kutumia njia nyingine ya kushughulika na mgogoro ule ila Kwa ubabe wake ndo akaamua kufanya hivyo
Laiti tusingeenda kwenye vita natumain azimio la musoma lisingekuwepo na uchumi wetu usingekuwa vagrant like this
 
Supersteve, Ramark, Kapotolo 2Geza: Mnamshambulia mchangiaji Faiza kwa vigezo visivyo endana na mada ya originator.
Mleta mada hakuwa anataka kuwalinganisha Nyerere (RIP) na hao waliomfuata! Anatoa hisia zake dhidi ya sera na mambo aliyofanya Nyerere period. Kwa nini tusiishie kuyachambua ya Nyerere bila kuwaingiza na kina Mkapa? Na ndio maana kunajengeka hisia kwamba huyo Nyerere (RIP) hastahili kukosolewa? (RIP Nyerere, lakini tutayasema tu)

Hali ya mtwara ilipuuzwa na nyereee mwenyewe Kwa kung'oa reli, kuondoa bandari yaan mtwara corridor, kukataa ujenzi wa barabara ya dar mtwara mpaka alipokufa ndo ikajengwa, Kwa kusisitiza uliposainiwa mkataba ya ukandaras wa kujenga Kwa kiwango cha lami barabara ya mtwara masasi chini ya naibu wazir wa ujenz bwana ng'itu akapigwa demotion ya ukuu wa wilaya ya kilwa mwaka 1978
Hakuishia hapo akapuuza uzalishaji wetu wa mazao ya biashara hususani korisho na hata jengo la korisho lilipo jengwa alikataa kuja kufungua eti ghorofa kujengwa mtwara Kwa nn sehemu kama ile
Wana mtwara tujavumilia? Wawili hao walitusamehe kidogo kaja bwana mkubwa tukasikia mtwara corridor itarudi, gesi itazalishwa hapa, viwanda vitajengwa mara kabadilisha tutajenga mabomba mpaka dar Banda r itachimbwa baga moyo eti mtwara bado wamakonde wenyewe hawajaenda shule
Kweli haya maisha yanaendelea leo faidha Fox unasemaje na mbatata
 
Back
Top Bottom