Mkuu shida ni bei elekezi ya hayo material,unaweza ukauziwa bei juu ukija ku-calculate bei inakuwa mule mule,tungeomba utupe angalau bei elekezi ya material ya aluminium maana m mwenye nataka kuweka madirisha tatizo hzo bei ndo noma
Kuna watu nyapu zinawapelekesha sana aisee!!
Majuzi nimekutana na jamaa yangu tulimaliza olevel wote,yupo na kicheche wa shule kipindi tunasoma basi jamaa limekufa limeoza linapelekeshwa tu,wakat ile nyapu kila muhuni aliipiga kipindi kile!
[emoji23][emoji23][emoji23]..ila haya mambo usikute mwamba mdomo unanuka yeye anahisi ana gundu
Kwanza kumbuka mwanamke anashawishika zaid na maneno matamu je una maneno matamu ya kumshawashi mtu?
Hayo sio mapungufu,ni kawaida sanaa...wengine tukielezea fantassy zetu mtapigwa na butwaa...kuna uzi fulani nimeusahau jina ni watu wanaelezea fantassy zao utacheka sana mtoa mada
Hii nchi ina hela sana[emoji38] ni wewe tu utavyoamua upige hela kwa style gani.To be honest b mkubwa wangu alipigwa sana na ndodi yaan kila tukimwelekeza b.mkubwa haelewi[emoji1787]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.