Recent content by Mandela T HD

  1. Mandela T HD

    JamiiForums Tanzania Habari Zenu Wadai

    Wadau niko na tecno p5 chaji ilikua inamaliza siku nzma ila sasa inapungua kwa kasi mtu akituma txt inakula 2% tatizo nini?
  2. Mandela T HD

    JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Jestkilla unamanisha nn?
  3. Mandela T HD

    JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Icloud inauwa soko aisee bora waboreshe tu ziwe zinafunguka
  4. Mandela T HD

    JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Iphone ni simu kabisa so hizi icloud mtu akichukua poteza simi ni ngumu kutoka kabisa au kuna njia za kufuatilia
  5. Mandela T HD

    JamiiForums Tanzania Orodha: Virus wanaotesa Android

    Ila ukiwasha data inasumbua kama kawaida
  6. Mandela T HD

    JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Hahaaa! Soon nitakuja kutoa ushuhuda kama ni kweli au sio kweli tuombeane uzma tu
  7. Mandela T HD

    JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Pole sana mkuu jaribu kutia matangazo mengi
  8. Mandela T HD

    JamiiForums Tanzania Plz Nisaidieni

    Ww sema huwezi kuna kitu kinashindikana acha wanaojua wachangie mada
  9. Mandela T HD

    JamiiForums Tanzania Plz Nisaidieni

    Mshikaji kaniletea ndugu kapewa zawadi ila lock ndio shida
  10. Mandela T HD

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata iphone 5 niliopoteza

    Sasa kama nimeipata mm lazma ukuje na pesa nikupe
  11. Mandela T HD

    JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Jestkilla ndugu mm pia niko na iphone ila iko ugonjwa huo
  12. Mandela T HD

    JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Dmlabwa uko maeneo gani?
  13. Mandela T HD

    JamiiForums Tanzania Plz Nisaidieni

    Niko na simu ya iphone nimeuziwa ila kila nikijaribu kuweka laini inagoma imepigwa lock nimeshindwa kutoa
  14. Mandela T HD

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Wachoma Ubani Nchi Nzima Kumuomba Mungu Atoe Hukumu Ya Haki

    Asakari hawajaenda kuwazuia wanachafua mazingira kwa moshi wao wa ubani hii nchi daaa!!!
Back
Top Bottom